Chang’oe
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 233
- 445
Ukimuona mchane tenaNishamchana
Kuna watu watakupinga ila hawafikirii kuwa kuna watu wanakosa ajira kwa uwepo wake,ameshatumikia wakati wake,aachie ofisi ili ofisi iajiri mwingine sasa akiendelea kukaa hakuna atakaeajiriwa..
Oya ukimuona tena mchane