Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #41
Wivu nimuonee mtu ambaye kastaafu huku hata nyumba au gari hana.Ni wivu tu.
Nina miaka 5 job nina nyumba na gari nitanunua kabla mwaka haujapinduka
Wivu nimuonee mtu ambaye kastaafu huku hata nyumba au gari hana.Ni wivu tu.
Nimejenga na nitanunua gari mwaka huu huuWe umejenga?
Maisha nikichaguaKuna mbaba kazini kwetu dereva kastaafu mwezi June. Cha ajabu bado anaendelea kuja kazini. Kwakuwa kuna uhitaji wa dereva basi ofisi haiwezi kumfukuza. Nimemchana leo kuwa akubali matokeo atulie home asubiri stahiki zake.
Watumishi wa umma tujipange, huyu mzee amestaafu hajajenga nyumba, kumbe hata documents zake muhimu alikuwa anazitunza hapa kazini kimyakimya. Juzi ndipo tuligundua, ningeziona mapema ningezificha ahangaike kwanza mpaka alie ndipo ningempa.
Mtumishi wa serikali unaishi nyumba ya kusitiriwa. Mtu kajenga nyumba anakuambia nilindie nyumba yangu!!
Huyu mzee ukimwambia Jpili nakutembelea lazima akupe udhuru.
Kuuumbe una banda ndo maana mineno inakutokaa, linaweza hata ungua na umeme magumashi wa tanesco hilo banda lako, ukarudi zero kuliko hata huyo mzee!Nimejenga na nitanunua gari mwaka huu huu
Huyajui maisha mdogo wangu. Yaani bado una safari ndefu sana !!!Wivu nimuonee mtu ambaye kastaafu huku hata nyumba au gari hana.
Nina miaka 5 job nina nyumba na gari nitanunua kabla mwaka haujapinduka
Kajenga basi ambao hawajajenga anaona woote wazembe[emoji51][emoji51][emoji28][emoji28]Huyajui maisha mdogo wangu. Yaani bado una safari ndefu sana !!!
Ni kijana mdogo mwacheni. Bado hajayajua maisha sawasawa. Aje atuulize sisi tuliowahi kuwa na hela za kumwaga halafu zikaisha na leo tupo tupo tu tumpe uzoefu na haya mambo [emoji16]Kuuumbe una banda ndo maana mineno inakutokaa, linaweza hata ungua na umeme wa tanesco hilo banda lako, ukarudi zero kuliko hata huyo mzee!
We endelea kuichezea hii dunia[emoji28]
Mzee ana mawazo sana tumieni hekima na busara kwa kweli hapo.Kuna mbaba kazini kwetu dereva kastaafu mwezi June. Cha ajabu bado anaendelea kuja kazini. Kwakuwa kuna uhitaji wa dereva basi ofisi haiwezi kumfukuza. Nimemchana leo kuwa akubali matokeo atulie home asubiri stahiki zake.
Watumishi wa umma tujipange, huyu mzee amestaafu hajajenga nyumba, kumbe hata documents zake muhimu alikuwa anazitunza hapa kazini kimyakimya. Juzi ndipo tuligundua, ningeziona mapema ningezificha ahangaike kwanza mpaka alie ndipo ningempa.
Mtumishi wa serikali unaishi nyumba ya kusitiriwa. Mtu kajenga nyumba anakuambia nilindie nyumba yangu!!
Huyu mzee ukimwambia Jpili nakutembelea lazima akupe udhuru.
Kwa hiyo?Nimejenga na nitanunua gari mwaka huu huu
Atakuwa ni dereva mwenzake, anaona wivu wanavyogawana safari. Madereva na posho za safari wanaweza hata kukulogaMwenyewe kasema mzee bado anakwenda kazini kwa sababu wana upungufu wa madereva. Bila shaka wangekuwepo madereva wa kutosha huyu mzee asingejisumbua.
mimi nashauri busara ingetumika kufanikiwa ama kujipanga katika maisha kunakumbana na changamoto nyingi ,asikuambie mtu some time unaweza kuona labda mtu anafanya makusudi lakini hali ngumu ya maisha inayomkabili inamfanya ashindwe hata kusave for the future ,si unajua hii extended family base tunayoishi waafrica ,nilijaribu kupitia kitabu kimoja kinachoitwa rich dady poor dady ,offcourse kuna mafunzo ambayo tunatakiwa tuyachukue otherwise tutakuja kupata shida sana sisi watumishi wa umaa,huu ndio ukweli ndugu zangu,lakini pia hebu jaribu kukaa nae huyu mzee ikiwezekana mumpe kamchango kidogo ili akaanzie maisha hata kalaki 2 ,au 3 naona anaweza kuanzisha hata kibiashara cha kuuzia kahawa na alkasusi !Kwani kuja kwake kunakupunguzia nini wewe, mshahara wako uko pale pale.
...kulikuwaga na uhakiki wa umri sijui uliishia wapi, uhakiki wa umri ufanywe kwa njia za kitaalamu sio kwenye vyeti tu bali wapelekwe hospitalini wakapimwe kubaini umri wao.
madaktari wanajua zaidi, ila nijuavyo kuna vipimo vinaweza kutumika kubaini hilo.Bwashee, kipimo gani hutumika kubaini umri huko hospitali.?