Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

ila hili neno mwaya hata hali-sound kigasho basi tu mleta mada umeliedit.
 
Wanaume wa Dsm sasa mmezidi. Inakuwaje mwanaume mzima na midevu yako unatumia neno 'mwaya'?

Utasikia..

Haya mwaya!

Ndiyo mwaya!

Twende mwaya!

Niambie mwaya!

Nini maana ya neno mwaya?

Wanaume wa Daslam badilikeni aisee..
Kwa watu wa Tanga (Wabondei au Wasambaa, sina uhakika na Wadigo, Wazigua au Wasegeju) hili neno ni gender-neutral. Wanawake kwa wanaume, watoto na wazee hulitumia.

Neno hilo linalotumika badala ya:
[emoji830]Mwenzangu
[emoji830]Aisee
[emoji830]Ndugu
[emoji830]nk.

Kiswahili kimejaa maneno kibao ya makabila ya Tanga. Msianze kuwachagulia wanaume watumie neno gani la Kiswahili litokanalo na Kitanga.

Maneno kama:
[emoji830]SONI (aibu au haya)
[emoji830]MBWAI (ni nini)
[emoji830]CHEREKO (kufurahia)
[emoji830]CHAMBILECHO... (kama alivyosema...)
[emoji830]SOGA au SHOGA (rafiki)
[emoji830]TAMBA (kujisifu, pia kusafiri)
[emoji830]WAMBA au WAMBE (sema au eleza)
[emoji830]nk.

Mbona Watanga hawachukii wakisikia Kiswahili kinapotoshwa na watu wa DSM na wa bara wanapoweka neno GA au PO katika kilakitu:
[emoji830]NinakupendaGA
[emoji830]NilikuwePO
[emoji830]ChangamkiaGA fursa
[emoji830]nk.

Neno MWAYA ni neno clean kabisa na halina uhusiano na homosexuality kabisa kwa wanaume. Muulize mtu yoyote yule wa TANGA.

Habari ndio hiyo. Sasa kama MBWAI, MBWAI bwana.[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Wanaume wa Dsm sasa mmezidi. Inakuwaje mwanaume mzima na midevu yako unatumia neno 'mwaya'?

Utasikia..

Haya mwaya!

Ndiyo mwaya!

Twende mwaya!

Niambie mwaya!

Nini maana ya neno mwaya?

Wanaume wa Daslam badilikeni aisee..

Umechoka kutongozwa au?
 
Hahahaaa! aiseeh! hivi mtoa mada wewe ni mwenyeji wa wapi? Kwanza neno mwaya hulijui maana yake mbona unalipangia matumizi kwa wenzio!? Pole sana MWAYA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I mwaya mtuache na mwaya zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]


vidume wa dar mna shida kla ktu chenu. Karbun Rock city HIP HOP CITY tuwa toe malinda
 
Wanaume wa Dsm sasa mmezidi. Inakuwaje mwanaume mzima na midevu yako unatumia neno 'mwaya'?

Utasikia..

Haya mwaya!

Ndiyo mwaya!

Twende mwaya!

Niambie mwaya!

Nini maana ya neno mwaya?

Wanaume wa Daslam badilikeni aisee..
[emoji115] [emoji16] [emoji16] hasa wanaume wa Dar! This is too much mmezidi! Au neno "Akha".
 
mwanaume ukiniambia "mambo" hapo sikuelewi.
bora hata uniambie "mambo vp" kuliko mambo kavu.
 
Back
Top Bottom