Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Mimi binafsi huwa sipendi kuona kiongozi mkubwa anapokea ndege au kufungua daraja.
Inaomywsha jinsi vision yetu ilivyo myopic. Yaani gharama ya kupokea ndege inajenga madarasa.
 
Aibu ya nini ?!!! [emoji15][emoji15]

Aibu iko wapi ?!!

Nchi inazidi kukua.....WATALII WANAZIDI KUJA....

Matunda ya "Royal Tour" yametuongezea watalii milioni 3....unalijua hilo ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Nani huyo mtembea peku?
Mlisho Mpodo au?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hatutaki maendeleo ya vitu, tunataka maendeleo ya watu!!
 
Wananchi hawana umeme wa uhakika wala maji safi ya kunywa wao wananunua madege kila siku.

Hawa watu ni useless!

Sanasana wanawarahisishia wanaotudai mabilioni ya hela kupata assets za kukamata ili tulipe hayo madenui tu!
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha,[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi huwa sipendi kuona kiongozi mkubwa anapokea ndege au kufungua daraja.
Inaomywsha jinsi vision yetu ilivyo myopic. Yaani gharama ya kupokea ndege inajenga madarasa.
Watanzania wanataka KUONA.....

Ni lazima uendane na hulka yao....

Wasipoona" huwa ni sawa na HUJAFANYA....ndio ukweli japo una ukakasi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
ushamba ni mzigo kwa kweli. Nchi haina ajenda, wamerithi utapeli wa magufuli. Makamu anapokea Ndege, Rais anakagua bustani QATAR badala wake wajifungie kutafakari namna ya kuondoa changamoto ya Umeme.
 
Wananchi hawana umeme wa uhakika wala maji safi ya kunywa wao wananunua madege kila siku.

Hawa watu ni useless!

Sanasana wanawarahisishia wanaotudai mabilioni ya hela kupata assets za kukamata ili tulipe hayo madenui tu!
Na wenzako wakisema wasikilize...

Jukumu wamepewa....

Tatizo la umeme mwisho mwezi wa 3/2024.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ushamba ni mzigo kwa kweli. Nchi haina ajenda, wamerithi utapeli wa magufuli. Makamu anapokea Ndege, Rais anakagua bustani QATAR badala wake wajifungie kutafakari namna ya kuondoa changamoto ya Umeme.
Tatizo la umeme litakoma 3/2024....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ok, Kumbe ishafika wajaribu kuongeza ufanisi katika utoaji huduma la sivyo tutapotea.
Najaribu kufikiria Ethopian airlines au Kenya Airways wakiwekeza kinadakindaki katika hizi local routes zetu tutapoteza sana.
Vyenginevyo haya maswala ya kupokea ndege yamekaa kisiasa zaidi na si kama kusudio lilivyo la mapokezi na sijawahi kupendezwa nalo.
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Noma sana !
 
Safi sana idadi ya ndege inazidi kuongezeka na pia kuna ndege nyingine 2 ndogo kwaajili ya mafunzo ya urubani kwa vijana wetu hapo NIT Safi sana Mama Samia good Job
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz
Jamani...zitatijazia pakrking
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Jamani watatujazia Parking hapo NIA, TARURA hilinalo mulitizame, pelekeni watu wa parking fee....
 
Niliwahi kumsikia mmoja anashauri hata yale magari meusi ya misafara yawe yanafanyiwa mapokezi na kufanyiwa ibada
 
Back
Top Bottom