Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

walipishana kwa sana tu ijapokuwa JKN alitaka kuwafanya sawa kama Mao Ze Dong - yaani kwenda na sera za kikomunist.

Labda huko kwenu vijijini ndiyo maisha mulikuwa sawa lakini siyo mjini
Mimi ni wa mjini kweli kweli na pia shughuli zangu zilikuwa ni lazima nisafiri mara kwa mara sehemu zote za Nchi !!
Kwahiyo najua hali halisi ilivyokuwa !!
 
Sisi ni waafrika....

Sherehe ni lazima kwa kila jambo kubwa....wewe Nkwimba una utamaduni wa ufaransa?!!?[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Utamaduni wa kijinga,hizo pesa si bora hata wangenunua madawati,kuchimba visima ama kununua Panadol. Tanzania viongozi ni wabinafsi sana.
 
Naomba kuelemishwa. Kuna ndege ya Kampuni ya Ethiopia iliyowahi kuanguka na kuua zaidi ya watu mia moja ikielekea Nairobi Kenya. Kiwanda kilitamka wazi kuwa kuna kasoro katika utengenezaji wa aina hizi za ndege toka kiwandani. Ninauliza, Je ndege hii iliyopokelewa leo ni aina moja na ile ndege ya Ethiopia iliyoanguka?. Kama jibu ni ndiyo kwa nini Serikali imeagiza aina ya ndege hii ilihali kiwanda kilikwishatamka kuwa zina kasoro?.
 
Wewe mnunulie mwanao desk, usingoje kila kitu kufanyiwa.
Nilipe Kodi, hela mkanunulie ndege za kufugia popo maana mnazipaki tu, halafu Mimi mlipa Kodi Tena ninunue madawatii hapo hapo kila siku mtoto anakwenda shule na elfu moja ya mitihani!!!!
 
Ushamba mwingi na matumizi mabaya ya fedha za umma tu, hakuna jingine hapo. Watu wameandaa bajeti ya kupokelea ndege[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom