Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Utakua mchanga sana hapa TanzaniaHata Nyerere hakufanya ushamba huu enzi zile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua mchanga sana hapa TanzaniaHata Nyerere hakufanya ushamba huu enzi zile!
Kwahiyo hizo huduma bure kwenye awamu ya kwanza watanzania awakulipa kodi?!!Inawakera kweli hawapendi kusikia mafanikio ya awamu ya kwanza wanaumia kwa husuda za kijinga.Elimu na matibabu bure sio kama sasa kuna geresha ya majengo tu huku gharama zikiwa juu,kuna siku pale wodi ya sewahaji muhimbili kuna mgonjwa alifanyiwa upasuaji nesi akaja na kumwambia unatakiwa uondoke na wenzako walale kwa sauti ya ukali hadi tukashangaa,nilikuja baini kumbe kitanda ni deal kwao wanapata mshiko.Wanazusha uongo eti Nyerere akiona kwenye tv kesho anasema ameota na kuna majinga yanaamini!
Ngoja nipite kimya kimya hapa !! 😱Kwenye hii nchi ya Kusadikika tumebarikiwa kila kitu! Kasoro viongozi bora tu wa kuliongoza Taifa.
Imagine maeneo mengi ya nchi watu wanahangaika kwa kukosa maji safi na salama! Huku tukiwa tumezungukwa kila kona na mito mikubwa, maziwa makubwa, mabwawa, bahari, nk
Wananchi wanateseka kwa mgao wa umeme wa miaka nenda huku tukiwa na vyanzo lukuki vya kuzalisha umeme wa uhakika! Miundombinu mibovu ya barabara! Huduma mbovu za afya, elimu! Nk.
Badala ya viongozi kumaliza kabisa kero za aina hii! Wao wako busy kuteuana na kutenguana! Kununua ndege, kununua magari ya kifahari, kulipanda posho nono, kufanya ufisadi, nk.
Kodi zililipwa na kodi ziliwarudia tena walipa kodi kwenye huduma za kijamii ambazo zile zilizokuwa ni za bure basi ujue zilikuwa ni bure kweli na za uhakika !!Kwahiyo hizo huduma bure kwenye awamu ya kwanza watanzania awakulipa kodi?!!
Wakulima wa kahawa,kakao,pamba walitozwa pesa nyingi zilizokwenda kulipia hizo bills.Kodi ya kichwa nk....vijana bhana
Aligawiwa au waligawana? wakati zinanunuliwa na EA zilikuwa mitumba...Ni ndege ipi mpya alinunua Nyerere? Yeye aligaiwa mitumba ya iliyokuwa East African Airways.
Huwezi kuwa na maendeleo ya watu bila kwanza kuwa na msingi imara wa vitu.Hatutaki maendeleo ya vitu, tunataka maendeleo ya watu!!
Kwa taarifa yako baada ya shirika la ndege la afrika mashariki kufa ATC ilipoanzishwa ilinunuliwa ndege mpya aina ya B732 Nakumbuka mbili zilliku n a registration 5HMRK na 5HATC. Ambazo baada ya Nyerere kustafu ziliuzw kifisdi kw shirika la Afrika ya Kusini na Atc kutumia ndege za kukodi toka Afrika y Kusini. Mkuu kumbuk kutoongea kable hujafanya research.Ni ndege ipi mpya alinunua Nyerere? Yeye aligaiwa mitumba ya iliyokuwa East African Airways.
Kwani mliokuwepo na wewe tu? Ata mimi nilikuwepo....yaani umelipa kodi ili utape huduma alafu useme nimepata hudumu bure....Tuwe wa kweli na makini sana.Kodi zililipwa na kodi ziliwarudia tena walipa kodi kwenye huduma za kijamii ambazo zile zilizokuwa ni za bure basi ujue zilikuwa ni bure kweli na za uhakika !!
Sisi wengine tulikuwepo ndio maana tunajua tunachokisema !!
Kwa hiyo sasa hivi huduma zimekuwa juu kwa sababu hatulipi kodi?wewe huoni tofauti hapo?Maendeleo haya ambapo kuna magari mengi lkn 99%(kwa raia)ni used?waziri kasema Dar ndege kuiona hadi lisaa lipite kwa hiyo suluhisho ni kununua ziwe nyingi?!kipindi cha Mwalimu ndege zilikuwa nyingi hata zikipishana hushangai na mashirika makubwa kama british Airways,sabena,klm,lufhansa,ethiopia.....mengi hayapo.Unadhani yalikuwa yanakuja kujifurahisha tu?Kwahiyo hizo huduma bure kwenye awamu ya kwanza watanzania awakulipa kodi?!!
Wakulima wa kahawa,kakao,pamba walitozwa pesa nyingi zilizokwenda kulipia hizo bills.Kodi ya kichwa nk....vijana bhana
Uongozi wa majaribioKwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Kweli hapo kama tumechanganyikiwa kidogo na zile nidhamu zetu za kizamani 😅Kwani mliokuwepo na wewe tu? Ata mimi nilikuwepo....yaani umelipa kodi ili utape huduma alafu useme nimepata hudumu bure....Tuwe wa kweli na makini sana.
Mbona kwasasa ndege ni nyingi kuliko ata zamani....zamani kuna mikoa aikua na viwanja vya ndege Leo vipo na huduma zipo.Ukiangalia ata population ya awamu ya kwanza na Leo ni vitu tofauti kabisa...bara bara za lami,shule,hospitali, vyuo nkKwa hiyo sasa hivi huduma zimekuwa juu kwa sababu hatulipi kodi?wewe huoni tofauti hapo?Maendeleo haya ambapo kuna magari mengi lkn 99%(kwa raia)ni used?waziri kasema Dar ndege kuiona hadi lisaa lipite kwa hiyo suluhisho ni kununua ziwe nyingi?!kipindi cha Mwalimu ndege zilikuwa nyingi hata zikipishana hushangai na mashirika makubwa kama british Airways,sabena,klm,lufhansa,ethiopia.....mengi hayapo.Unadhani yalikuwa yanakuja kujifurahisha tu?
Hizi ni hisia zaidi ya uhalisiaKweli hapo kama tumechanganyikiwa kidogo na zile nidhamu zetu za kizamani 😅
Hata tukienda dukani huwa tunasema naomba sukari huku ninampa pesa muuzaji duka 😅😅🙏
Ruto kawapiga fiksi za ajira digital jobs 300,000 kwenye makampuni ya Apple, Google na Intel.Kenya hawana mambo ya kijinga kama haya.
Nje ya Mada wewe uliona wapi Makamu wa Raisi Kenya akichoma fedha za kodi za wananchi kwenda kuzindua Ndege?Ruto kawapiga fiksi za ajira digital jobs 300,000 kwenye makampuni ya Apple, Google na Intel.
Kwamba vijana wa Kenya wataajiriwa na hizo kampuni wakati inajulikana kwamba hizo kampuni zipo kwenye zoezi kali la costs cutting ikiwemo kupunguza maelfu ya wafanyakazi.
Tena kapiga hizo fiksi akiwa kanisani..[emoji51]...the guy is a serial liar, msidanganyike!
Nyinyi ndio mnaofurahia ajali za mabasi na idadi ya vito cya abiria....ndio tafsi rahisi...ivi ukikakataa kufurahia la kufurahia si utafurahia ya ya huzuni na vito? Basi kama hutaki kufurahia ndege subiri dqraja likatwe na mafuriko ufurahi....ivi ni mtanzania GANI mwenye akili ataichukia CCM!Kweli kabisa majirani wakiona haya mambo wanatuona manyani tu
nadhani ni nyinyi munahitaji kufanya research, hapa kila aliyenijibu amekuja na stori yake kuhusu ndege za ATC - wengine ATC ilikodi kutoka Kenya na Brazil, mwengine sijui wapi, mwingine zimenunuliwa ..... nani sasa anasema ukweli?Mkuu kumbuk kutoongea kable hujafanya research.
wakati wa kugawana tayari zilikuwa zimeshatumika (mitumba)Aligawiwa au waligawana? wakati zinanunuliwa na EA zilikuwa mitumba...