akili matope!Mtapanuka mioyo yenu bure. Kubalini tu Mheshimiwa SSH alishamaliza mchezo baada ya kuendeleza kwa kasi yale yote yaliyoanzishwa na JPM. Kubalini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akili matope!Mtapanuka mioyo yenu bure. Kubalini tu Mheshimiwa SSH alishamaliza mchezo baada ya kuendeleza kwa kasi yale yote yaliyoanzishwa na JPM. Kubalini tu
Laana ni kuwa mwana CCM
Hivi ndege ikija bila sherehe sijui wanapungukiwa na nini?Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Wacha fixi za kukariri vitu ulivyosoma kwenye madaftari ya shule. Ndege moja alitoroka nayo rubani kuja nayo Tz na tatu zilikuwepo hapa Tz kwa hivyo zikabakia hapa. Hizo 13 labda kama uliziota maana kila siku ilikuwa cancellation ya flights mpaka ATC ilibadilishwa jina ikaitwa Any Time Cancellation. Na bado kipindi kile hakikuwa na wapandaji ndege wengi kama sasa.ama huna uelewa na kitu, uliza au tafuta uelewa, usiropoke.
Kiuhalisia, hakuna wakati ambao nchi iliwahi kupata maendeleo ya haraka kama wakati wa Mwalimu Nyerere:
Tulikuwa na viwanda karibia vya bidhaa zote muhimu, kuanzia kuunganisha malori ya scania, matrekta ya valmet, kutengeneza baiskeli aina ya swala, matairi ya general tyre, vuwanda vya nguo Mutex, Mwatex, Sungura tex, Urafiki, kiwanda cha viatu Moro shoes, kiwanda cha batteries cha YUASA, na vingine vingi. Na vyote vilikuwa vInatengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, siyo bidhaa takataka kama hizi za leo. Leo tumegeuka kuwa nchi ya wachuuzi wa kuuza bidhaa hafifu za China.
ngapi hizo?Zilikuwepo Boeing 737 mbili zikijulikana kwa jina Kilimanjaro na Serengeti !
Pia zilikuwepo Fokker Friendship kadhaa na Twinowter kadhaa !!
Sita ! 😅 lakini zilitutosha kwa population ilivyokuwa nyakati zile !ngapi hizo?
🤣akili matope!
Labda nikueleze hivi: hazikutosha hata kidogo licha ya kuwa wapandaji wa ndege walikuwa wachache kipindi kile.Sita ! 😅 lakini zilitutosha kwa population ilivyokuwa nyakati zile !
NAKAZIA
Dege ni kitu gani!?Hujui kitu wewe wacha wazalendo tupokee dege.. Kama unaumia sana roho kamata fagio ukafagie viunga vya ufipa.
Mkaipeleka wapi?Ni ndege ipi mpya alinunua Nyerere? Yeye aligaiwa mitumba ya iliyokuwa East African Airways.
Sibishani na watu wasiojua chochote.Wacha fixi za kukariri vitu ulivyosoma kwenye madaftari ya shule. Ndege moja alitoroka nayo rubani kuja nayo Tz na tatu zilikuwepo hapa Tz kwa hivyo zikabakia hapa. Hizo 13 labda kama uliziota maana kila siku ilikuwa cancellation ya flights mpaka ATC ilibadilishwa jina ikaitwa Any Time Cancellation. Na bado kipindi kile hakikuwa na wapandaji ndege wengi kama sasa.
Haya hayo maendeleo ya viwanda yameishia wapi? Mbona ndiyo nchi iliingia kwenye dimbwi kubwa la njaa na dhiki iliyokithiri? Viwanda vile ilikuwa misaada kutoka socialist countries lakini hakukuwa na sustainability plan na ndiyo mana vilikufa. Hata kununua vitenge au kanga tu ilikuwa kwa foleni.
ndiyo tuliyokuwa tunatumia hapa nchini, au unadhania zile zilizokuwepo baada ya kuvunjika kwa EAC zilitoka wapi?Mkaipeleka wapi?
Nani huyo?Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Duh!...Hii kauli yako ifanyiwe lamination halafu ibandikwe kwenye stendi zote nchini.
Ni kweli lakini tulikuwa tunafurahia maisha kuliko ilivyo sasa !!Labda nikueleze hivi: hazikutosha hata kidogo licha ya kuwa wapandaji wa ndege walikuwa wachache kipindi kile.
Mara kadhaa tulikuwa tunakwenda airport tunasubiri ndege halafu tunaambiwa 'cancelled' na ndiyo maana iliitwa Any Time Cancelled (ATC). Hata rushwa haikuanza jana na leo, ilikuwa ukitaka tiketi ya kwenda sehemu baadhi ya wakati lazima 'unyooshe mkono'.
Hayo yote niliyokueleza nimeyashuhudia mwenyewe katika kipindi hicho.
Duh 🙄 !!NAKAZIA
Inawakera kweli hawapendi kusikia mafanikio ya awamu ya kwanza wanaumia kwa husuda za kijinga.Elimu na matibabu bure sio kama sasa kuna geresha ya majengo tu huku gharama zikiwa juu,kuna siku pale wodi ya sewahaji muhimbili kuna mgonjwa alifanyiwa upasuaji nesi akaja na kumwambia unatakiwa uondoke na wenzako walale kwa sauti ya ukali hadi tukashangaa,nilikuja baini kumbe kitanda ni deal kwao wanapata mshiko.Wanazusha uongo eti Nyerere akiona kwenye tv kesho anasema ameota na kuna majinga yanaamini!Wewe hujui lolote. Kaa na ujinga wao usijitie aibu.
Wakati wa utawala wa Nyerere zilinunuliwa ndege mpya kabisa, brand new 13, zote jet engine, siyo pangaboi.
Wakati wa kuvunjika kwa EAC, Tanzania haikugawiwa ndege. Rubani mmoja aliamua kutoroka na ndege 1 na kuja kutua Tanzania. Makao makuu ya EA Airways yalikuwa Kenya. Ndege zote zilibakia huko.
Kama huna uelewa na kitu, uliza au tafuta uelewa, usiropoke.