bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
hakuna aliyekuwa anafurahia maisha ya dhiki na umasikini, labda nyinyi muliokuwa vijijini.Ni kweli lakini tulikuwa tunafurahia maisha kuliko ilivyo sasa !!
Ni ajabu na kweli !! 😅🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna aliyekuwa anafurahia maisha ya dhiki na umasikini, labda nyinyi muliokuwa vijijini.Ni kweli lakini tulikuwa tunafurahia maisha kuliko ilivyo sasa !!
Ni ajabu na kweli !! 😅🙏🙏
Mkuu Ss tulisha acha muda mrefu sana kuangalia TBC channel iliyojaa ugolo mtupuKwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
[emoji2956][emoji2956]endeleni kupinga kila jambo nchi inachanja mbuga ndugu
Mkichukua dola mziuze zote ili tushangilie punda na farasi karne hii ya 21.......Ridiculous, eti majitu na akili zao yanashangilia ndege karne ya 21!
Laana ni kuwa na fikra za Mdude na wale Baavichaa....Laana ni kuwa mwana CCM
Sisi ni waafrika....Hivi ndege ikija bila sherehe sijui wanapungukiwa na nini?
[emoji2956][emoji2956]Wacha fixi za kukariri vitu ulivyosoma kwenye madaftari ya shule. Ndege moja alitoroka nayo rubani kuja nayo Tz na tatu zilikuwepo hapa Tz kwa hivyo zikabakia hapa. Hizo 13 labda kama uliziota maana kila siku ilikuwa cancellation ya flights mpaka ATC ilibadilishwa jina ikaitwa Any Time Cancellation. Na bado kipindi kile hakikuwa na wapandaji ndege wengi kama sasa.
Haya hayo maendeleo ya viwanda yameishia wapi? Mbona ndiyo nchi iliingia kwenye dimbwi kubwa la njaa na dhiki iliyokithiri? Viwanda vile ilikuwa misaada kutoka socialist countries lakini hakukuwa na sustainability plan na ndiyo mana vilikufa. Hata kununua vitenge au kanga tu ilikuwa kwa foleni.
[emoji2956][emoji2956]Labda nikueleze hivi: hazikutosha hata kidogo licha ya kuwa wapandaji wa ndege walikuwa wachache kipindi kile.
Mara kadhaa tulikuwa tunakwenda airport tunasubiri ndege halafu tunaambiwa 'cancelled' na ndiyo maana iliitwa Any Time Cancelled (ATC). Hata rushwa haikuanza jana na leo, ilikuwa ukitaka tiketi ya kwenda sehemu baadhi ya wakati lazima 'unyooshe mkono'.
Hayo yote niliyokueleza nimeyashuhudia mwenyewe katika kipindi hicho.
[emoji2956]Huwezi kuwa na maendeleo ya watu bila kwanza kuwa na msingi imara wa vitu.
Kalia hayo hayo....Uongozi wa majaribio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ruto kawapiga fiksi za ajira digital jobs 300,000 kwenye makampuni ya Apple, Google na Intel.
Kwamba vijana wa Kenya wataajiriwa na hizo kampuni wakati inajulikana kwamba hizo kampuni zipo kwenye zoezi kali la costs cutting ikiwemo kupunguza maelfu ya wafanyakazi.
Tena kapiga hizo fiksi akiwa kanisani..[emoji51]...the guy is a serial liar, msidanganyike!
[emoji1787]nadhani ni nyinyi munahitaji kufanya research, hapa kila aliyenijibu amekuja na stori yake kuhusu ndege za ATC - wengine ATC ilikodi kutoka Kenya na Brazil, mwengine sijui wapi, mwingine zimenunuliwa ..... nani sasa anasema ukweli?
Watapanda ndugu zao...Asilimia 90 ya watu waliokuwa pale hawana uwezo wa kuipanda na hawataipanda
Wala hakukuwa na umasikini kama wa hivi sasahakuna aliyekuwa anafurahia maisha ya dhiki na umasikini, labda nyinyi muliokuwa vijijini.
Tahila ww,kufaKwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.
Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Wewe mnunulie mwanao desk, usingoje kila kitu kufanyiwa.Tusiende mbali huko Kakonko Wala Masasi. Hapa Dar baadhi ya shule za msingi watoto wanakaa chini kwenye mavumbi. Halafu watu wananunua ndege ya mabilioni na kwenda kuipaki.
Niwaulize CCM na kina FaizaFoxy, ATCL Ina serve mikoa mingapi Tanzania.
walipishana kwa sana tu ijapokuwa JKN alitaka kuwafanya sawa kama Mao Ze Dong - yaani kwenda na sera za kikomunist.Wala hakukuwa na umasikini kama wa hivi sasa
Kipindi kile watu walikuwa hawapishani sana kimaisha !
Lakini sasa masikini ni masikini kweli kweli ! Mlo ni mmoja tu tena wa kubangaiza !
Tofauti kati ya wenye nacho na wasionacho ni kubwa kupita maelezo kwa sasa !!
[emoji2956]walipishana kwa sana tu ijapokuwa JKN alitaka kuwafanya sawa kama Mao Ze Dong - yaani kwenda na sera za kikomunist.
Labda huko kwenu vijijini ndiyo maisha mulikuwa sawa lakini siyo mjini