Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

Moja ya sababu za kwanini wasomi wengi huishia kufanya kazi za kuajiriwa hadi wana staafu basi ndio kama hi, wasomi wengi wanaogopa KUCHEKWA kama ambavyo wewe unataka iaminiwe. Kwenye biashara kinacho matter ni wateja, kama wateja wapo kwanini msomi aogope kuanzisha hicho unacho kipinga!? Mbaya zaidi naona hata wewe huna option, yaani umelaumu tu badala ya kutoa mbadala!
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
Bado elimu ya mtanzania imejikita katika muktadha wa kuajiriwa tu na sio kujiajiri tofauti na nchi nyingine nyingi. Wanafunzi wengi wanasoma kupata cheti/status kielimu lakini application wa walichosoma wanategemea kuajiriwa. Hizo biashara mbadala unazosema mkuu ndio level ya kujiongeza kwa wale ambao hawajafanikiwa kuajiriwa, na kulingana na mtaji ambao anao. Kuna wachache sana hutoboa lakini wengi sana ndio kama hivyo ulivyosema tu
 
Huyu naona anaandika ushuzi tu.. post yake haijakaa kiuhalisia kabisaaa maana kwa msomi mtanzania aliesomeshwa kwa mkopo wa serikali na alietokea familia duni huo mtaji wa kufungua banda Kama la KFC atautoa wapi.. ustake watu wakumalizie hasira za ugumu wa Maisha inye wew..
 
Kwani chipsi hasaidii watu? mkuu elimu yetu ni ya nadharia zaidi na mbaya zaidi wakati mtu yupo chuoni anakutana na wasomi wenzake tu hivyo hata akija mtaani inakuwa ngumu kuanzisha biashara ambazo unazifikiria kutokana na kutokupata fursa ya kukutana na wadau mbalimbali kwenye hizo sekta ili aweze kupata mawazo mamili matatu na ukizingatia anahitaji mtaji wa kutosha.

Hivyo mtu anaweza akafungua banda la chipsi ama juice ya miwa kwa kuwa ameona kuna fursa ya soko lakini pia ni njia ya kuzuga wakati anafikiria biashara ya level yake (kwa mujibu wa wewe)
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
Service bila manufacturing! Mbona vinategemeana. Migahawa mikubwa ya chips na ice cream wewe huwezi kuingia na usomi wako. Kilimo cha matikiti kutumia greenhouse kwa kuuza nje ya nchi. Mbona maepo yanakuja toka Afrika Kusini na yanalimwa na wasomi zaidi yako, acha dharau nenda kale Subway Upanga, hapo hakuna nyama ni mbogamboga tu hautamudu bei.
 
Mimi naona tatizo tulionalo ni kuendeshwa kwa matatizo na sio kwa elimu.

Yaani, matatizo uliyonayo yanakufanya ufikirie biashara itakayo lipa faster ili uweze tatua shida uliyonayo muda huo.

Wengi wana ideas nzuri na zinazoweza lipa sana. Tatizo sio ideas zinazolipa faster, zinahitaji kuzifanyia kazi muda sana kabla ya kuanza kulipa.

Matokeo yake, tunaziweka pembeni na kutafuta biashara ya faster. Na hata tukiweza tatua hizomshida faster, zile ideas tusha zisahau kwa kuwa hatuna desturi ya kuandika au kuandaa vitu kama business plan.
 
Mleta mada bado uko shule wewe. Na huyo uliyemtolea mfano ujue kasoma vyuo vya nje
Kimsingi hakuna ubunifu mpya zaidi ya ku apply competettive advantage. Hata kama anauza chips anaweza kuziongezea thamani kulingana na elimu yake. Mbona Baresa anauza maandazi, chapati, hadi tui la nazi?
 
Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka duk

Nani tatizo pesa.

Hivyohivyo hakuna asiyependa kuwa na kitu kama KFC, McDonald's nk tatizo mtaji boss.
Ideas zipo ila mitaji hamna na ndio maana unaona watu wanafanya vitu katika scale hio hio! Biashara ya KFC kwa branding na kila kitu ukifungua point yako kistaili tu itahitaji si chini ya million 15 mpaka 20! Hapo umeweka mazingira safi na vitu utumiavyo viwe quality ya kuwa tofauti!

Katika hali ya kawaida Graduate gani ana hio pesa? Ila vitu kama hivyo kuviskia kavifanya mtoto wa Reginald Mengi ni kawaida maana mzee wake hela ipo! Ishu ni pesa tu, hamna kikwazo kikubwa kwenye utekelezaji wa ideas kama hicho. Zaidi na zaidi tutaminyana kwenye vimitaji vya million hadi million 2
 
Huu uzi ni mzuri Sanaa umenigusa nina kijiwe changu sehemu flani hivi sema kamtaji kangu ni kadogo sanaa nikitaka kufurukuta nashindwa hivyo nabaki tuu kusubiri siku ziende
 
Alafu kitu kingine nataka kujua vp wewe unefanya lipi la tofauti na sahivi upo wapi na unajishughulisha na nn?
 
Hivi Masters holder akija na wazo wa kufanya biashara kama za Bakhressa kwa lengo la kumfikia bakhlesaa atakuwa mjinga??? Akienda shamba akalima ekali za vitunguuu na kuanza kuzisafirisha nje??? Ulitaka aanze kuzalisha masters zake na kuziuza?
Achana nae huyo,naona kashiba mpaka kavimbiwa anaamua kuwatuka wasio na ajira
 
Hivi kwa mini tunawanyanyapaa wasiosoma...unamshauri msomi afanye biashara ya kisomi...kwan nini usimshauri na huyu asie soma afanya biashara kama msomi...au yeye ndio kazaliwa asifanye biashara zikaonekana...alafua duniani hakuna biashara ya kisomi ila kuna(ubunifu wa kibiashara) ambayo MTU yoyote anaweza.....
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
Mtoa Mada umetoa maelezo Kama wale motivation speaker ambao hata hawajwahi uza genge. , si ajabu hata ukipewa biashara ya chips itakushinda. Ndio maana tunakazania kuponda graduate waliojiajili bila kuangalia factor kadhaa. Katika maisha yako usije mdharau graduate aliyeanza na chips tena msomi ukamlinganisha na Hawa akina Fernandes waoshinda Bahati kwenye mashindano.

Kuna watu nawajua graduate baada ya kumaliza chuo walianza na vibashara vidogo Kama mtu asiye soma na Leo hawakamatiki wengine mitaji yao it's approach more than 100mill .biashara ya chips inaweza kuwa njia ya mtu kupitia kurise mtaji na uzoefu WA biashara, akishakomaa anafanya vitu vikubwa Sana .

Kitu kingine hao vijana wanaoshinda kila siku hizo competition fuatilia maisha yao up to now wako wapi. Sijui innovative ideas etc. Hatuzioni impact zao ktk jamii. Vijana wasiojitangaza na kumake money tena wamestart down wengi wako silence. Sio kila mtu ANAPIGA domo.
 
Sijuii ni kwanini umejiweka kundi la wasomi. Kama ungekuwa kundi la wasomi ungejua elimu inakusaidia kutawala mazingira yako. Ikiwa ni pamojabna kujua fursa zilizopo mtaani for that matter.
 
Hakika mkuu,
Ila inashangaza mtu na elimu yako,
umekopa mkopo bank, alafu unaenda fungua juisi ya miwa kama mpemba wa ilala,
mazingira ya kizwasi, yani vuluvulu
Niaibu pia kwa msomi kwenda kuajiriwa kitu ambacho ni kutumikishwa. Usije ukawa unatuletea uzi huu ukiwa unatumia keyboard za mwajiri wako.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Anaweza kuanza kumpelekea dalali hapo mabibo few years down the line anapeleka nje. Hujui watu wanafikiria nini dont judge.

Btw wewe ni mfanyabiashara hebu tuambie unafanyaje?
Mleta uzi ni limbukeni, ameshiba bagia za shemeji yake
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
Muhaya kwenye ubora wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mtoa Mada umetoa maelezo Kama wale motivation speaker ambao hata hawajwahi uza genge. , si ajabu hata ukipewa biashara ya chips itakushinda. Ndio maana tunakazania kuponda graduate waliojiajili bila kuangalia factor kadhaa. Katika maisha yako usije mdharau graduate aliyeanza na chips tena msomi ukamlinganisha na Hawa akina Fernandes waoshinda Bahati kwenye mashindano.

Kuna watu nawajua graduate baada ya kumaliza chuo walianza na vibashara vidogo Kama mtu asiye soma na Leo hawakamatiki wengine mitaji yao it's approach more than 100mill .biashara ya chips inaweza kuwa njia ya mtu kupitia kurise mtaji na uzoefu WA biashara, akishakomaa anafanya vitu vikubwa Sana .

Kitu kingine hao vijana wanaoshinda kila siku hizo competition fuatilia maisha yao up to now wako wapi. Sijui innovative ideas etc. Hatuzioni impact zao ktk jamii. Vijana wasiojitangaza na kumake money tena wamestart down wengi wako silence. Sio kila mtu ANAPIGA domo.
Mkuu umeandika sahihi ila hapo kwenye kuizalau bahati kwa kushinda idea yako na kupata pesa umepotosha hii ni njia moja wapo ya kupata mtaji kwa watu wa hali ya chini nahaiji ndani ukiwa umelala lazima uitafute ipo wapi uandike kitu nondo ushinde upate pesa.

Iko hivi ides zinazotumwaga ili kushinda sio kwamba mtu anaitaji iyo pesa aifanye kweli iyo idea bali anaamua kuandika kitu chochote solid ili apate pesa afanye vitu alivyopanga mbali na ilo wazo labda wawe wanaifuatilia kujusaidia baada ya Hapo.

Minisha complete sana so ningepate usingenambia bahati na sibu bali ni haso zangu natafuta mitaji kwa njia nyingi sana.
 
Back
Top Bottom