Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Bado elimu ya mtanzania imejikita katika muktadha wa kuajiriwa tu na sio kujiajiri tofauti na nchi nyingine nyingi. Wanafunzi wengi wanasoma kupata cheti/status kielimu lakini application wa walichosoma wanategemea kuajiriwa. Hizo biashara mbadala unazosema mkuu ndio level ya kujiongeza kwa wale ambao hawajafanikiwa kuajiriwa, na kulingana na mtaji ambao anao. Kuna wachache sana hutoboa lakini wengi sana ndio kama hivyo ulivyosema tuWasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Service bila manufacturing! Mbona vinategemeana. Migahawa mikubwa ya chips na ice cream wewe huwezi kuingia na usomi wako. Kilimo cha matikiti kutumia greenhouse kwa kuuza nje ya nchi. Mbona maepo yanakuja toka Afrika Kusini na yanalimwa na wasomi zaidi yako, acha dharau nenda kale Subway Upanga, hapo hakuna nyama ni mbogamboga tu hautamudu bei.Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Ideas zipo ila mitaji hamna na ndio maana unaona watu wanafanya vitu katika scale hio hio! Biashara ya KFC kwa branding na kila kitu ukifungua point yako kistaili tu itahitaji si chini ya million 15 mpaka 20! Hapo umeweka mazingira safi na vitu utumiavyo viwe quality ya kuwa tofauti!Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka duk
Nani tatizo pesa.
Hivyohivyo hakuna asiyependa kuwa na kitu kama KFC, McDonald's nk tatizo mtaji boss.
Achana nae huyo,naona kashiba mpaka kavimbiwa anaamua kuwatuka wasio na ajiraHivi Masters holder akija na wazo wa kufanya biashara kama za Bakhressa kwa lengo la kumfikia bakhlesaa atakuwa mjinga??? Akienda shamba akalima ekali za vitunguuu na kuanza kuzisafirisha nje??? Ulitaka aanze kuzalisha masters zake na kuziuza?
Mtoa Mada umetoa maelezo Kama wale motivation speaker ambao hata hawajwahi uza genge. , si ajabu hata ukipewa biashara ya chips itakushinda. Ndio maana tunakazania kuponda graduate waliojiajili bila kuangalia factor kadhaa. Katika maisha yako usije mdharau graduate aliyeanza na chips tena msomi ukamlinganisha na Hawa akina Fernandes waoshinda Bahati kwenye mashindano.Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Niaibu pia kwa msomi kwenda kuajiriwa kitu ambacho ni kutumikishwa. Usije ukawa unatuletea uzi huu ukiwa unatumia keyboard za mwajiri wako.Hakika mkuu,
Ila inashangaza mtu na elimu yako,
umekopa mkopo bank, alafu unaenda fungua juisi ya miwa kama mpemba wa ilala,
mazingira ya kizwasi, yani vuluvulu
Mleta uzi ni limbukeni, ameshiba bagia za shemeji yakeHata mbuyu ulianza kama mchicha. Anaweza kuanza kumpelekea dalali hapo mabibo few years down the line anapeleka nje. Hujui watu wanafikiria nini dont judge.
Btw wewe ni mfanyabiashara hebu tuambie unafanyaje?
Muhaya kwenye ubora wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Mkuu umeandika sahihi ila hapo kwenye kuizalau bahati kwa kushinda idea yako na kupata pesa umepotosha hii ni njia moja wapo ya kupata mtaji kwa watu wa hali ya chini nahaiji ndani ukiwa umelala lazima uitafute ipo wapi uandike kitu nondo ushinde upate pesa.Mtoa Mada umetoa maelezo Kama wale motivation speaker ambao hata hawajwahi uza genge. , si ajabu hata ukipewa biashara ya chips itakushinda. Ndio maana tunakazania kuponda graduate waliojiajili bila kuangalia factor kadhaa. Katika maisha yako usije mdharau graduate aliyeanza na chips tena msomi ukamlinganisha na Hawa akina Fernandes waoshinda Bahati kwenye mashindano.
Kuna watu nawajua graduate baada ya kumaliza chuo walianza na vibashara vidogo Kama mtu asiye soma na Leo hawakamatiki wengine mitaji yao it's approach more than 100mill .biashara ya chips inaweza kuwa njia ya mtu kupitia kurise mtaji na uzoefu WA biashara, akishakomaa anafanya vitu vikubwa Sana .
Kitu kingine hao vijana wanaoshinda kila siku hizo competition fuatilia maisha yao up to now wako wapi. Sijui innovative ideas etc. Hatuzioni impact zao ktk jamii. Vijana wasiojitangaza na kumake money tena wamestart down wengi wako silence. Sio kila mtu ANAPIGA domo.