Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Huko hakuna maajabu, timu 12 hata Yanga angekuwepo huko angeanzia raundi ya pili. Kwenye klabu bingwa, timu zote zingeshiriki basi hata Simba asingepata nafasi ya kuanzia raundi ya pili kwenye klabu bibgwa kwasababu ya nafasi aliyopo ni ya saba na sio ya tano.
 
Kwahiyo Yanga na Azam ni sawa tu?
 
Acha kubisha kitu usichokijua mkuu kwenye rank za Afrika Simba angeanzia round ya pili michuano yoyote ile

Simba ipo nafasi ya tano kwa ubora wa vilabu barani Africa ikiwa na points 39 za Caf

Katika hizo timu 05 hapo ambazo hazitaanzia round ya kwanza Simba Sc anazidiwa points na timu 3 tu ambazo ni Al Ahly, Esperance De tunis na Mamelod Sundowns
 
Reactions: BRN
Simba wa saba we kolo
 
Kama vipi Hao vyura wabatizwe kwa moto watupunguzie kelele.
 
Simba wa saba we kolo
Sasa hata kama Simba ni wa 7 huoni bado hawezi kuanzia hatua ya kwanza kama Yanga maaba kuna Tp Mazembe hapo ambaye ni nafasi ya 8 nyuma ya Simba na bado haanzii hiyo hatua ya awali
 
Reactions: BRN
Yanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.

Kudadadeki
Shame on you kolozidad , jana ulikuwa unatia wasiwasi leo unatafuta shimo lingine la kujifichia , Maumivu ni makali sana
 
Wapi ambapo nimeandika kuwa Yanga ni wa tano? Kuna sehemu nimeongelea kuhusu point za Yanga? Au unakurupuka tu ku comment bila kuelewa?
Sasa Yanga kwanini anaanzia hatua ya Awali?ni mdogo acha hizo bra bra sijui timu 53 wala timu ngapi.Simba anaanza makundi chap hata akicheza CAF champs
 
Reactions: BRN
Kwenye Champions League ni timu tano tu za juu zinazopata exemption kati ya timu 59, wakati Confederation Cup ni timu 12 za juu zinazopata hiyo exemption kati ya timu 52 tu. Confederation ni mashindano dhaifu kulinganisha na Champions
Uko sahihi.
 
Simba sio wa tano ni wa saba hivyo kwenye klabu bingwa asingweza kuwa na nafasi ya kuanzia raundi ya pili mpaka itokee wa juu yake washindwe ku qualify kucheza mashindano ya klabu bingwa ( top 5) ambao ni Al Ahly, Es Tunis, Wydad, Mamelod na Tp Mazembe hizo ndizo top 5.
 
Sasa Yanga kwanini anaanzia hatua ya Awali?ni mdogo acha hizo bra bra sijui timu 53 wala timu ngapi.Simba anaanza makundi chap hata akicheza CAF champs
Shida ya kujulia mpira kipindi Azam wanaanza kurusha matangazo ya mpira, eti Simba ingeanza makundi chap. Kuna timu ipi umeona inaanzia hatua ya makundi? Wewe ni wazi hujui kitu unakurupuka tu ku comment. Hakuna sheria wala kanuni inayoruhusu timu kuanzia makundi katika mashindano ya CAF ngazi ya vilabu.
 
Michuano ya CAF mkuu.

Ova
Aaaah, tafadhali b… weka mambo sawasawa kwamba ni michuano ya Shirikisho Afrika (CAFCC), michuano ya CAF iko mingi.

Hakuna kujificha kwenye kichaka cha CAF. Lols
 
Tp Mazembe ipo nafasi ya 08 nyuma ya simba nafasi ya 07 na amenufaika kuanzia hatua hiyo ya pili kutokana na kutokuwepo kwa Wydad Casablanca(03) Zamalek (05) na Simba (07)
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…