Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Tp Mazembe ipo nafasi ya 08 nyuma ya simba nafasi ya 07 na amenufaika kuanzia hatua hiyo ya pili kutokana na kutokuwepo kwa Wydad Casablanca(03) Zamalek (05) na Simba (07)
Simba ipo nafasi ya ngapi?
 
Utopolo wana force ukubwa..bado sanaa wajifunze kwa baba zao Simba.. 😊 at least 3 quarter finals...
 
Reactions: BRN
Sisi tulitaka tuanze pre-preliminary round, tuanze na Simba, tumtie 7-0 alafu ndiyo tuendelee
Haisaidii! Kawafunge kwanza wale wengine na uingine Quarter final mara kadhaa ndo hapo mtaeleweka, kumfunga Simba au Yanga hakusaidii kitu!
 
Kama bado mna mautopolo ya kujumlisha magoli eti 7...ni bora tuu muanzie hatua ya mtoano maana hamna akili...
 
Haisaidii! Kawafunge kwanza wale wengine na uingine Quarter final mara kadhaa ndo hapo mtaeleweka, kumfunga Simba au Yanga hakusaidii kitu!
Sisi furaha yetu kuona mnyama anateseka, tumewasilisha barua CAF itushushe shirikisho ili tukutane
 
mazembe yupo chini ya simba
 
Sisi furaha yetu kuona mnyama anateseka, tumewasilisha barua CAF itushushe shirikisho ili tukutane
Haisaidii vilevile, kila timu ina njia yake hata siku moja hakufanani, timu zote zina falsafa tofauti, we tafuta furaha yako basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…