backtobasics
Member
- Apr 24, 2024
- 13
- 16
Malezi malezi malezi, tuwajibike kwa nafasi zetu kuepuke kizazi cha hivi....pengine wazazi / walezi waliteleza ila tuna nafasi ya kutengeneza kwenye kizazi gen Alpha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa kabisaMalezi malezi malezi, tuwajibike kwa nafasi zetu kuepuke kizazi cha hivi....pengine wazazi / walezi waliteleza ila tuna nafasi ya kutengeneza kwenye kizazi gen Alpha
Kumbe na wewe umeliona lile dogo upinde na sikumuacha hivi hivu nilimpa maneno makali sana na kufru , wanaume sijui tumekuwaje ni bonge moja la ulimbukeni ,"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu."
Kipindi unakuwa uliwahi kusikia wakubwa zako wanashare stories za kula na kutongoza wake za watu?
Mke wa mtu ni uchungu uliojificha katika kona ya mbali katika moyo wa mwanaume yoyote.
Ni uchungu ambao hauwezi kuu ona katika nyuso yake ila ni uchungu ambao hata ukimwimbia milioni 10 atakupa nafasi ya kumrudishia taratibu ila ukimla mke wake nae anakufanya mke wake au kukutupa ruvu.
Vijana wamekuwa wadhaifu sana, mtu kabisa anashare chats za kutongozana na mke wa mtu na watu wanamsifia kweli eti "kula huyoo, kula huyoo"
Yani ni upuuuzi wa kwnda shule mkuu.Kumbe na wewe umeliona lile dogo upinde na sikumuacha hivi hivu nilimpa maneno makali sana na kufru , wanaume sijui tumekuwaje ni bonge moja la ulimbukeni ,
Tena ulivyoandika huu uzi hasira zimenipanda sana narudi kwenye uzi wake nikamshushie mitusi mpaka nipigwe BAN, Na nyie Mods upuuzi gani ule mnaruhusu?
Mbaya sanaUtumbo mtupu mkuu