Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje.

Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni.

Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
 
gentamycine kuna mdada anakutafuta ni wiki sasa humu Jf , anataka kukuona face to face.

Mbona umepiga kimya umeibukia huku.
 
Unapotaja sijui siyo wa wapi unachemsha..!!
 
kifo hakina jinsia wewe jamaa!!!,wewe unafikiri ukifa utapaje UTI{ITIAI}, UTI inapatikana kupitia shoo,,,,,,ukiacha hili,ina maana haujui wanawake wana roho ngumu kuliko wanaume????? nenda china ukaabidili jinsia alaf ubebeb mimba miezi 9 then baada kuingiziwa uume kila siku,siku ukipumzika ni kwamba unableed,,,,then uingie leba ndo utajua kwa wabunge wa kike walitoka kishkaji,,,,sisi wanaume hatuna roho ngumu ata kidogo
 
Walikuwa wanazikimbilia v8 zao

Ova
 
Kumetokea nin huko???
 
Je mbunge msukuma yeye alikimbiaje naskia Hadi nyayo Hadi zilikuwa zinagusa makalio
 
Moto ungeua mngesema wanaume mashujaa walikimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…