Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
10,003
Reaction score
9,755
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
 
Umefikilia vyoooote cha maana umeona gar?acha ushamba bhana unanunua gar huna nyumba?
 
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Hakuna unachokijua kuhusu dunia na maisha samahani nikiongea sana naweza kutukana alafu sio ustaarabu, lakini unachotakiwa kufahamu ni kwamba kutafuta sio kupata na aliyekosa sio mzembe,
.
.
Mwenye kujua sana mapigano huenda asishinde kwenye pambano na mwenye akili sanaa asifanikiwe maisha
 
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Braza nyumba ndo heshma jenga nyumba zako mbil au tatuu tuu znatosha ayoo magar skuiz ata mtt kazaliwa Leo analo
 
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Unakuta dume la kilo 90+ liko ndani ya Passo au vits. Aisee ni afadhari kupambana na mwendokasi.
 
mkisha pata vi hela mnaanza dharau, kwamba gari imekuwa matako sasa kila mwanaume awe nayo.

mil5 unaitaja kama umekatika kichwa hata pato la mtz hujui kwa wastani n sh. ngap. watu tunapigana ila mambo si mambo bado sio kwamba ni wajinga
 
Back
Top Bottom