Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

Kila mwanaume anunue gari lake. Barabara zenyewe zipo wapi?
 
ila bora umewaambia yani wanawake wa Dar c vijana c watoto kutwa kucha wanasimamaga tu kwenye madaladala maskini ya mungu kama vile hawalipagi nauli
WANAUME WA DAR LINI MTAACHA KUGOMBEA SEAT NA MAMA ZENU so stupid jitu zima linampush mama ake, mdogo wake hadi kumwangusha kisa SEAT alafu linashukia vituo viwili mbele je mngekuwa mnaenda mikoani
 
Bwege weye, gari siyo issue...!! to maintain na mafoleni yasiokuwa na mpango pia parking areas ndo usumbufu mkubwa!!! wengi wana magari mazuri kuliko ulizotaja na bado wameyafungia...!!
Aelewe pia nchi zingine watu huacha magari yao hupanda treni na mwendokasi.
 
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu

Wengine hatununui Gari ili mradi ni Gari linarembea Barabarani. Tuna Taste na preference ya aina ya magari tuyatakayo. Vitz, Ist, passo nunua wewe.

By ze way, Kwani Hao wanaobanana kwenye Daladala sio Watu?.
Hizo daladala za Public ziliwekwa kwa kazi gani?.

Nani alikudanganya Ukiwa Na Gari ndio hutakuja kupanda Daladala tena?.
 
Wana jf

Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Sijawahi kusikia baba mwenye gari,ni baba mwenye nyumba tu.
 
Mkuu kwahiyo ukiwa huna gar ndo unakuwa mshamba?
Wanaume wa dar hamuishiwi matatizo
Hapo utakuta kapanga chumba kimoja makondeko halafu anakimbilia kumiliki gari ambayo inamlazim kupaki kilometer moja kutoka gheto kwake! Hopeless kabisa
 
Wanaume wa dar utawajua tu. True car kwa ajili ya mwanaume ni kuanzia mil 20. Hizo vitz,passo unavamia gari za kina dada. So usijione saaana uko class ya juu kwa kumiliki passo.
 
Kuna watu wanamagari mengi na ya bei mbaya lakini ni mabwabwa,vibamia, hawana uwezo wa kuzalisha lakini kuna wengine hawana hata pikpik lakini wanaume mashine,wanafamilia na wanazotunza vizuri!!!
Kati ya hayo mawili yupi anapaswa umshangae na kumcheka
we jamaa noma
 
Kagari kako tu kamoja, unaona wanaume tusio na magari Tz hatuna maana!!!

Je, ungemiliki kiwanda?
 
Wakati wewe unalitafuta gari uwe mjanja, washamba wengine tunaitwa baba mwenye nyumba huku
 
Back
Top Bottom