laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Umefikilia vyoooote cha maana umeona gar?acha ushamba bhana unanunua gar huna nyumba?Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Hakuna unachokijua kuhusu dunia na maisha samahani nikiongea sana naweza kutukana alafu sio ustaarabu, lakini unachotakiwa kufahamu ni kwamba kutafuta sio kupata na aliyekosa sio mzembe,Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
OmeonaeeNchi imejaa washamba.
Braza nyumba ndo heshma jenga nyumba zako mbil au tatuu tuu znatosha ayoo magar skuiz ata mtt kazaliwa Leo analoWana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Pamoja na kwamba simuungi mkono mtoa hoja, hii yako nayo ni uongo mtupu na ni kauli za mkosaji.Bwege weye, gari siyo issue...!! to maintain na mafoleni yasiokuwa na mpango pia parking areas ndo usumbufu mkubwa!!! wengi wana magari mazuri kuliko ulizotaja na bado wameyafungia...!!
Unakuta dume la kilo 90+ liko ndani ya Passo au vits. Aisee ni afadhari kupambana na mwendokasi.Wana jf