Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

Kwani unachowaza wewe kama kipaumbele chako ndicho anachowaza na mwingine? Nadhani tunatofautiana kulingana na "priorities" za kila mtu ambazo anataka azitimize maishani mwake
 
Hilo wazo la Gari kwanza ni kipaumbele cha Wanawake,Mwanaume wa ukwel kwanza huwaza kupata himaya yake(Nyumba) il ajiachie akijua yupo kwake,sasa Wewe unamiliki Gari umepanga na unaishi kwa Mzee fulani,utamuambia nini? mwenye Gari,ukiwa na Gari hata mkopo haupati Benk
 
Kuna watu wanamagari mengi na ya bei mbaya lakini ni mabwabwa,vibamia, hawana uwezo wa kuzalisha lakini kuna wengine hawana hata pikpik lakini wanaume mashine,wanafamilia na wanazotunza vizuri!!!
Kati ya hayo mawili yupi anapaswa umshangae na kumcheka
 
Duu nilidhani nipo kwenye group la Watsap nilitaka ku-left Kwa huu utoto
 
Priorities
Priorities
Priorities
Over...[emoji113]
 
acha uongo wewe wanawake wameanza kumiliki magari juzi juzi zamani ukimuona mwanamke anaendesha gari unamshangaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…