GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Moja kwa moja nijikite kwenye mada:

Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.

Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.

Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.

Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.

Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
 
Niliona Mange Kimambi anatoa michambo kama yako lakini wewe umejibana bana 😃😃😃
 
Wakati Samia anapitishwa kwa harakaharaka, nilikuwa nimekaa nafanya maongezi na Mzee mmoja mkongwe wa CCM.

Mzee yule akaniambia Kikwete na Samia wanafanya vibaya sana, na hili jambo haliwezi kupita bila kupingwa. Ni bora wangeendesha mambo kwa utaratibu na kushinda kihalali, kwa style hii kuna watu wataleta upinzani.

Nikasema kwa CCM gani? Hii hii au nyingine?

Basi mara tukamsikia yule Mzee Malisa analalamika. Akavuliwa uanachama nafikiri.

Mara Polepole kalipuka.

Nikasema kumbe yule Mzee alikuwa anasema kweli.
 
Wakati Samia anapitishwa jwa harakaharaka, nilikuwa nimekaa nafanya maongezi na Mzee mmoja mkongwe wa CCM.

Mzee yule akaniambia Kikwete na Samia wanafanya vibaya sana, na hili jambo haliwezi kupita bila kupingwa. Ni bora wangeendesha mambo kwa utaratibu na kushinda kihalali, kwa style hii kuna watu wataleta upinzani.

Nikasema kwa CCM gani? Hii hii au nyingine?

Basi mara tykamsikia yule Mzee Malisa analalamika. Akavuliwa uanachama nafikiri.

Mara Polepole kalipuka.

Nikasema kumbe yule Mzee alikuwa anasema kweli.
Kuna kitu wengi tumeshindwa kuelewa, hofu ya Samia ipo wapi. Bado naamini taratibu zingefuatwa angepita tu

Haijawahi kutokea mgombea uraisi akapotishwa January, ilikua mapema mno. Miaka yote vikao vya kupitisha mgombea ni June au July. Huwa ni baada ya bunge la mwisho.
Hata Kama fomu inatoka moja, Kuna utaratibu huwa wanaupitia. Kilichotokea mwaka huu ni kitu cha ajabu.
Jk ule ukumbini ile siku alishtuka, alishindwa kabisa kugoma maana hakujua nini kingefata, ilabidi akubali huku anarudia rudia maneno kuwa wasivunje sana utaratibu
 
Moja kwa moja nijikite kwenye mada:

Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.

Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.

Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.

Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.

Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Nadhani hii ni taarifa njema kwa Taifa! Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania !!
 
Kuna kitu wengi tumeshindwa kuelewa, hofu ya Samia ipo wapi. Bado naamini taratibu zingefuatwa angepita tu

Haijawahi kutokea mgombea uraisi akapotishwa January, ilikua mapema mno. Miaka yote vikao vya kupitisha mgombea ni June au July. Huwa ni baada ya bunge la mwisho.
Hata Kama fomu inatoka moja, Kuna utaratibu huwa wanaupitia. Kilichotokea mwaka huu ni kitu cha ajabu.
Jk ule ukumbini ile siku alishtuka, alishindwa kabisa kugoma maana hakujua nini kingefata, ilabidi akubali huku anarudia rudia maneno kuwa wasivunje sana utaratibu
Watu incompetent mara zote huwa na hofu na inferiority complex.

Yani hata pale ambapo angeweza kushinda kwa heshima ya kuwa rais tu, amejiharibia mwenyewe kuharakisha na kufanya papara.
 
Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.

Vp kama akirudi huyo huyo?

Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10
Rais anachaguliwa kila baada ya miaka kitano kwa mujibu wa katiba . Kwa hiyo baada ya miaka mitano uchaguzi mkuu unafanyika .
Ndani ya CCM kama Rais anayekua madarakani alipita michakato ya kikatiba muhula wa kwanza kwa kushindanishwa kwa misingi na miongozo ya Katiba ya Chama basi kuhula wa pili anapita kupingwa ndanu ya chama lakni kwa kufuata kiongozo ya katiba ya Chama .

Rais Samia muhula wake wa kwanza aliingia kwa kutumia Katiba ya Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania .
Rais Samia muhula wake wa kwanza hakuingia madarakani kwa Mujibu wa Katiba ya Chama cha Mapinduzi kwa sababu hakuwahi kuchukua fomu ya kugombea Urais na kushindanishwa na wenzake. Huu utakua ni mtego wa Genge la mafisadi ili 2030 waseme kuwa aendelee mpaka 2035 maana awamu yake ya kuchaguliwa kwa kura kulingana na katiba ni miaka 10 na amechaguliwa mara moja .
Watashinda hata wakifungua kesi ya kikatiba na Samia atatawala mpaka 2035 haina ubishi. CCM kwa sababu ya Rushwa kwa wajumbe hawaoni . Rushwa hupofusha macho
 
Watu incompetent mara zote huwa na hofu na inferiority complex.

Yani hata pale ambapo angeweza kushinda kwa heshima ya kuwa rais tu, amejiharibia mwenyewe kuharakisha na kufanya papara.

Mambo ya kitaifa anayafanya kwa mihemko na papara na aina fulani ya kutaka kujionyesha kuwa hakuna cha kumfanya .
 
Wamejimilikisha chama.... Lakini wasipokuwa waangalifu uasi mkubwa uta anzia ndani ya chama. Wamekuwa wakijiona wapo imara kwasababu ya sauti za machawa..... wakati huo wenye akili timamu wanawatizama tu... Wamebakiza visingizio vya udini.....
 
Ninavyo wafahamu CCM hawarudii mchakato wa kumpata mgombea. Waliishaamua itakuwa hivyo.
 
Rais anachaguliwa kila baada ya miaka kitano kwa mujibu wa katiba . Kwa hiyo baada ya miaka mitano uchaguzi mkuu unafanyika .
Ndani ya CCM kama Rais anayekua madarakani alipita michakato ya kikatiba muhula wa kwanza kwa kushindanishwa kwa misingi na miongozo ya Katiba ya Chama basi kuhula wa pili anapita kupingwa ndanu ya chama lakni kwa kufuata kiongozo ya katiba ya Chama .

Rais Samia muhula wake wa kwanza aliingia kwa kutumia Katiba ya Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania .
Rais Samia muhula wake wa kwanza hakuingia madarakani kwa Mujibu wa Katiba ya Chama cha Mapinduzi kwa sababu hakuwahi kuchukua fomu ya kugombea Urais na kushindanishwa na wenzake. Huu utakua ni mtego wa Genge la mafisadi ili 2030 waseme kuwa aendelee mpaka 2035 maana awamu yake ya kuchaguliwa kwa kura kulingana na katiba ni miaka 10 na amechaguliwa mara moja .
Watashinda hata wakifungua kesi ya kikatiba na Samia atatawala mpaka 2035 haina ubishi. CCM kwa sababu ya Rushwa kwa wajumbe hawaoni . Rushwa hupofusha macho
Ww umemzungumzia Samia Ila mm nmezungumzia utaratibu mzima wa ccm bila kujali nani yupo madarakani kwa wakati huo.

Kikatiba, Samia mwisho wake wa kuwa rais ni 2030 kama uchaguzi huu akishinda, hayo ya kusema ety awe mpaka 2035 ni maneno yenu mtaani huko.

Mbona muhula wa pili wa JPM watu wengine walijitokeza kugombea urais ndani ya chama wakati inajulikana JPM ndie anayetakiwa kuendelea, hili ndio msingi wa swali langu.
 
Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.

Vp kama akirudi huyo huyo?

Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?
Miaka 10 ya mfukoni?

Wameshindwa nini kuiweka kwenye Katiba ikawa ni haki?

Tunaunguza pesa za nchi kwa michakato ya uchaguzi wa maigizo!

Kama mambo haya yanafanywa na watu wasomi wenye akili zao timamu, tukisema tumelaaniwa tutakosea?
 
Waweke kwenye katiba ipi?

Kama n katiba ya chama, bc hilo lipo tayari.
 
Back
Top Bottom