GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Moja kwa moja nijikite kwenye mada:

Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.

Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.

Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.

Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.

Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
na je akirudi huyohuyo mtaficha sura zenu sehemu gani
 
Msajili wa Vyama vya siasa yupo kimya!
 
Nina matuamaini kuwa mtifuaneo huu utaleta heshima kwa wananchi.

Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.

Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Kundi la Pole Pole baada ya kifo cha JPM mkataka turudi tena kwenye mchakato wa urais wakati tulishaumaliza miezi mitano nyuma!, lengo lenu huyu Mama asiwe Rais!.

Hamkujali gharama ambazo zingetumika kumpata Rais wakati katiba ilimpa nafasi Samia ya kuwa Rais!.

Nongwa zote za Ndugai, kiburi chote cha Mpina pale bungeni, unafiki wote wa Makamba wa nyuma ya pazia, hizi siasa chafu za Padre Kitima za kuandaa waraka unaohoji demokrasia, vyote hivi ni vilio vyenu mnaodhani mnazo akili nyingi za kuongoza Tanzania!.

Wapuuzi sana nyinyi watu.
 
Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.

Vp kama akirudi huyo huyo?

Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?
Sasa km ni miaka 10 samia ndio anamaliza muda wake mwaka huu 2025.
Aliingia madarakani kwa uchaguzi wa 2015.
Huyu mtu ni king'ang'anizi, mbinafsi na mlafi
 
exactly!

halafu pia hizo nafasi za kiutawala ni za kiume.
Kusema nafasi za kiutawala ni za kiume ni mawazo ya kijima.

Kuna siku nilikuwa nasikikiza mazungumzo fulani ya Watanzania na Fatma Karume kuhusu uongozi wetu, watu wakawa wanamponda sama Samia. Kuna mwanamke mmoja akasema Samia amewatia aibu wanawake wote Tanzania na sasa Watanzania wataona wanawake hawafai kuongoza. Fatma Karume akamjibu na kumwambia makosa ya Samia ni yake binafsi si ya wanawake wote wa Tanzania.

Habari ya kusema utawala ni habari ya wanaume ni sexism. Ukienda nchi za Nordic wanawake wamekuwa viongizi. Uingwreza wanawake wamekuwa viongozi. Mpaka Pakistan, India Sri Lanka na Bangladesh wanawake wamekuwa viongozi tangu enzi za Prime Ministers Indira Gandhi wa India na Bandaranaike wa Sri Lanka.

Acha mawazo ya kibaguzi kuhusu wanawake.
 
Kuna kitu wengi tumeshindwa kuelewa, hofu ya Samia ipo wapi. Bado naamini taratibu zingefuatwa angepita tu

Haijawahi kutokea mgombea uraisi akapotishwa January, ilikua mapema mno. Miaka yote vikao vya kupitisha mgombea ni June au July. Huwa ni baada ya bunge la mwisho.
Hata Kama fomu inatoka moja, Kuna utaratibu huwa wanaupitia. Kilichotokea mwaka huu ni kitu cha ajabu.
Jk ule ukumbini ile siku alishtuka, alishindwa kabisa kugoma maana hakujua nini kingefata, ilabidi akubali huku anarudia rudia maneno kuwa wasivunje sana utaratibu
Pengine kuna maovu kafanya. Mama hofu ndio inamtesa na imferiority complex. Huku nje anaogopa upinzani wa Lisu hivyo kamuweka Mbowe sawa amsaidie na huko ndani ameogopa wenzie wenye maono ya urais hivyo akamuomba Kikwete amsaidie. Sasa misaada yote inaelekea kubumburuka. Mungu amsaidie. Lakini ni bora afuate Haki na kuwatendea wapinzani Haki itamsaidia.
 
Ww umemzungumzia Samia Ila mm nmezungumzia utaratibu mzima wa ccm bila kujali nani yupo madarakani kwa wakati huo.

Kikatiba, Samia mwisho wake wa kuwa rais ni 2030 kama uchaguzi huu akishinda, hayo ya kusema ety awe mpaka 2035 ni maneno yenu mtaani huko.

Mbona muhula wa pili wa JPM watu wengine walijitokeza kugombea urais ndani ya chama wakati inajulikana JPM ndie anayetakiwa kuendelea, hili ndio msingi wa swali langu.
Nani alijitokeza?
 
Moja kwa moja nijikite kwenye mada:

Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.

Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.

Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.

Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.

Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Wametangaza wapi?
Tangazo liko wapi?
 
Back
Top Bottom