Kibajaji alikuwa anamuwekea mambo sawa, yeye kwa woga akahisi ni zengwe.Watu incompetent mara zote huwa na hofu na inferiority complex.
Yani hata pale ambapo angeweza kushinda kwa heshima ya kuwa rais tu, amejiharibia mwenyewe kuharakisha na kufanya papara.
Sidhani kama ccm wana busara kubwa kiasi hicho cha kuona kwamba walifanya makosa sasa wanatakiwa waanze upya. Kama wazee wa chama waliotegemewa kuwa washauri wamebakia kuwa machawa. Unategemea nini arifu ?Moja kwa moja nijikite kwenye mada:
Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.
Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.
Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.
Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.
Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Mimi huwa nadhani na wewe ni mzee wa Ccm kumbe bado hu kijana.Wakati Samia anapitishwa kwa harakaharaka, nilikuwa nimekaa nafanya maongezi na Mzee mmoja mkongwe wa CCM.
Mzee yule akaniambia Kikwete na Samia wanafanya vibaya sana, na hili jambo haliwezi kupita bila kupingwa. Ni bora wangeendesha mambo kwa utaratibu na kushinda kihalali, kwa style hii kuna watu wataleta upinzani.
Nikasema kwa CCM gani? Hii hii au nyingine?
Basi mara tukamsikia yule Mzee Malisa analalamika. Akavuliwa uanachama nafikiri.
Mara Polepole kalipuka.
Nikasema kumbe yule Mzee alikuwa anasema kweli.
Katiba inasema afululize miaka yote 10, ni ipi ya nchi?Waweke kwenye katiba ipi?
Kama n katiba ya chama, bc hilo lipo tayari.
KAtaa wahuniKatiba inasema afululize miaka yote 10, ni ipi ya nchi?
Kama siyo,kwa nini kuwe na digit hapo kati kati?
Kama jambo jamii inalipenda, kwa nini lisitungiwe sheria likawa ni haki?
Kwa nini tufanye michakato ya maigizo inayotumia pesa nyingi ya walipa kodi kwa jambo ambalo tayari lilishapitishwa?
Kiuhalisia mama ndiye anayesababisha sintofahamu zote hizi,angeondoka kila kitu kingerudi kwenye mstari,tungempata rais wa kutuongoza miaka 10 kama kawaidaKuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.
Vp kama akirudi huyo huyo?
Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?
Hata mtu akiongoza miaka 20 siyo shida tatizo ni kiongozi wa aina gani ni mpumbavu mpumbavu anaye shikamana na wahuni na kuchukia uzalendo na wazalendo na kuabudu waarabu na mabeberu? Kama ni kiongozi wa hiyo basi kubaki madarakani hata mwezi mmojani hasara kwa taifa ....Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.
Vp kama akirudi huyo huyo?
Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?
Samia ana dharau sana. Yani Kibajaji kujipendekeza kote kule kimsingi kaambiwa "kaa chini wewe, sijakuruhusu kuongea" πππ.Kibajaji alikuwa anamuwekea mambo sawa, yeye kwa woga akahisi ni zengwe.
Rais anachaguliwa kila baada ya miaka kitano kwa mujibu wa katiba . Kwa hiyo baada ya miaka mitano uchaguzi mkuu unafanyika .
Ndani ya CCM kama Rais anayekua madarakani alipita michakato ya kikatiba muhula wa kwanza kwa kushindanishwa kwa misingi na miongozo ya Katiba ya Chama basi kuhula wa pili anapita kupingwa ndanu ya chama lakni kwa kufuata kiongozo ya katiba ya Chama .
Rais Samia muhula wake wa kwanza aliingia kwa kutumia Katiba ya Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania .
Rais Samia muhula wake wa kwanza hakuingia madarakani kwa Mujibu wa Katiba ya Chama cha Mapinduzi kwa sababu hakuwahi kuchukua fomu ya kugombea Urais na kushindanishwa na wenzake. Huu utakua ni mtego wa Genge la mafisadi ili 2030 waseme kuwa aendelee mpaka 2035 maana awamu yake ya kuchaguliwa kwa kura kulingana na katiba ni miaka 10 na amechaguliwa mara moja .
Watashinda hata wakifungua kesi ya kikatiba na Samia atatawala mpaka 2035 haina ubishi. CCM kwa sababu ya Rushwa kwa wajumbe hawaoni . Rushwa hupofusha macho
Mi nadhani kwa kua alishika madaraka baada ya mtangulizi wake kufariki ni kua aliendeleza uongozi wa mtangulizi wake sasa ni vyema akaingia kwenye kinyanganyiro kama utaratibu ulivyoMiaka 10 ya mfukoni?
Wameshindwa nini kuiweka kweny Katiba ikawa ni haki?
Tunaunguza pesa za nchi kwa michakato ya uchaguzi wa maigizo!
Kama mambo haya yanafanywa na watu wasomi wenye akili zao timamu, tukisema tumelaaniwa tutakosea?
Hapana, hajiamini ndio shida yake kubwa.Samia ana dharau sana. Yani Kibajaji kujipendekeza kote kule kimsingi kaambiwa "kaa chini wewe, sijakuruhusu kuongea" πππ.
Hata wakirudia kwa kufuata utaratibu bado atarudi yuleyule maana utaratibu wao ni kuongoza miaka kumiMoja kwa moja nijikite kwenye mada:
Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.
Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.
Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.
Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.
Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Hakika.Watu incompetent mara zote huwa na hofu na inferiority complex.
Yani hata pale ambapo angeweza kushinda kwa heshima ya kuwa rais tu, amejiharibia mwenyewe kuharakisha na kufanya papara.
Siyo kweli, Kwa sababu Samia amehumudu Kwa zaidi ya miaka mitatu, hiyo inahesabika kama muhula kamili wa miaka 5 ila kama ange hudumu chini ya miaka mitatu, mfano kuanzia 2023 basi hiyo ingehesabika kama kushikilia awamu na hivyo angeweza kuendelea Kwa vipindi viwili, yaani mpaka 2035Kikatiba, Samia mwisho wake wa kuwa rais ni 2030 kama uchaguzi huu akishinda, hayo ya kusema ety awe mpaka 2035 ni maneno yenu mtaani huko
Wasi wasi wangu wakikibali kurudia itakuwajeWakirudia watajiheshimisha mno ila hawawezi.
Inamgharimu sasaSamia ana dharau sana. Yani Kibajaji kujipendekeza kote kule kimsingi kaambiwa "kaa chini wewe, sijakuruhusu kuongea" πππ.
Jukwaa la wazushi aiseeMoja kwa moja nijikite kwenye mada:
Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.
Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa maslahi yao; ameingiza sintofahamu kwa kuwapa ujasiri baadhi ya watu ndani ya chama kukemea ukiukwaji wa sheria na katiba.
Nina matuamaini kuwa mtifuano huu utaleta heshima kwa wananchi.
Kuna team hapa itapoteza sana na uenda wakaishi uamishoni maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani.
Nasikia kuna tangazo huko la kuanza mchakato upya.
Duh sasa hiki ulichokiandika kina utofauti gn na nilichokiandika mm? Au hujasoma nilichokiandika?Siyo kweli, Kwa sababu Samia amehumudu Kwa zaidi ya miaka mitatu, hiyo inahesabika kama muhula kamili wa miaka 5 ila kama ange hudumu chini ya miaka mitatu, mfano kuanzia 2023 basi hiyo ingehesabika kama kushikilia awamu na hivyo angeweza kuendelea Kwa vipindi viwili, yaani mpaka 2035
Wasi wasi wangu wakikibali kurudia itakuwaje
1- Mgombea anatakiwa asiwe amekiuka kujitangaza Mgombea kabla hajapitishwa kama Mpina na wengine walivyo enguliwa
Itakuwaje wakati kunamgombea tayari mwaka kabla anamabango pikipiki na baiskeli
Tofauti na ulivyosema ni kwamba, " she's not eligible to round for re election in 2030.Duh sasa hiki ulichokiandika kina utofauti gn na nilichokiandika mm? Au hujasoma nilichokiandika?
Kwanza yeye siyo wa awamu ya sita,ni wa awamu ya tano,awamu ya sita inaanza baada ya uchaguzi wa 2025, hivyo kimsingi Samia yupo awamu ya tano ambayo walishinda 2020 wakiwa na Magufuli na awamu yao mwisho 2025,hivyo awamu ya sita haipo na bado hatujafika na hatujafanya uchaguzi.Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.
Vp kama akirudi huyo huyo?
Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?