GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu incompetent mara zote huwa na hofu na inferiority complex.

Yani hata pale ambapo angeweza kushinda kwa heshima ya kuwa rais tu, amejiharibia mwenyewe kuharakisha na kufanya papara.

exactly!

halafu pia hizo nafasi za kiutawala ni za kiume.
 
na je akirudi huyohuyo mtaficha sura zenu sehemu gani
 
Msajili wa Vyama vya siasa yupo kimya!
 
Kundi la Pole Pole baada ya kifo cha JPM mkataka turudi tena kwenye mchakato wa urais wakati tulishaumaliza miezi mitano nyuma!, lengo lenu huyu Mama asiwe Rais!.

Hamkujali gharama ambazo zingetumika kumpata Rais wakati katiba ilimpa nafasi Samia ya kuwa Rais!.

Nongwa zote za Ndugai, kiburi chote cha Mpina pale bungeni, unafiki wote wa Makamba wa nyuma ya pazia, hizi siasa chafu za Padre Kitima za kuandaa waraka unaohoji demokrasia, vyote hivi ni vilio vyenu mnaodhani mnazo akili nyingi za kuongoza Tanzania!.

Wapuuzi sana nyinyi watu.
 
Kuna umuhimu gn wa kuchaguana wakati inajulikana kwao rais ni kuongoza miaka 10.

Vp kama akirudi huyo huyo?

Vp kama akaletwa mwingine wakati utaratibu ni kuongoza miaka 10?
Sasa km ni miaka 10 samia ndio anamaliza muda wake mwaka huu 2025.
Aliingia madarakani kwa uchaguzi wa 2015.
Huyu mtu ni king'ang'anizi, mbinafsi na mlafi
 
exactly!

halafu pia hizo nafasi za kiutawala ni za kiume.
Kusema nafasi za kiutawala ni za kiume ni mawazo ya kijima.

Kuna siku nilikuwa nasikikiza mazungumzo fulani ya Watanzania na Fatma Karume kuhusu uongozi wetu, watu wakawa wanamponda sama Samia. Kuna mwanamke mmoja akasema Samia amewatia aibu wanawake wote Tanzania na sasa Watanzania wataona wanawake hawafai kuongoza. Fatma Karume akamjibu na kumwambia makosa ya Samia ni yake binafsi si ya wanawake wote wa Tanzania.

Habari ya kusema utawala ni habari ya wanaume ni sexism. Ukienda nchi za Nordic wanawake wamekuwa viongizi. Uingwreza wanawake wamekuwa viongozi. Mpaka Pakistan, India Sri Lanka na Bangladesh wanawake wamekuwa viongozi tangu enzi za Prime Ministers Indira Gandhi wa India na Bandaranaike wa Sri Lanka.

Acha mawazo ya kibaguzi kuhusu wanawake.
 
Pengine kuna maovu kafanya. Mama hofu ndio inamtesa na imferiority complex. Huku nje anaogopa upinzani wa Lisu hivyo kamuweka Mbowe sawa amsaidie na huko ndani ameogopa wenzie wenye maono ya urais hivyo akamuomba Kikwete amsaidie. Sasa misaada yote inaelekea kubumburuka. Mungu amsaidie. Lakini ni bora afuate Haki na kuwatendea wapinzani Haki itamsaidia.
 
Nani alijitokeza?
 
Wametangaza wapi?
Tangazo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…