The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Porojo porojo za kipuuziJanuari ni clown he ain't a leader yuko hapo sababu ua legacy ya babake .
Hana chochote cha kutu proove kwamba he can stand on his own feet and he deserves it!!
He ain't visionary not smart as u think!!
Huku tunakokwenda Dr kalemani ataonekana ana uafadhali kidogo japo kuwa alikua na ushamba wa kisukuma
Porojo porojo za kipuuziJanuari ni clown he ain't a leader yuko hapo sababu ua legacy ya babake .
Hana chochote cha kutu proove kwamba he can stand on his own feet and he deserves it!!
He ain't visionary not smart as u think!!
Huku tunakokwenda Dr kalemani ataonekana ana uafadhali kidogo japo kuwa alikua na ushamba wa kisukuma
Mhujumu wa taifa kwa namuna yote hata akiwa nani lzm hatua za sheria zichukuliwe.Narudia. Kwenye swala la nishati ya taifa yeyote anaye hujumu kwa namna yoyote huyo ni adui namba moja. Kwa hili Akumbukwe Magufuli. Nitasimama na msimamo huo milele na milele.
Kilichopo ni kwamba huyu waziri na Genge Lake walimchukia Magu sana.Anaulizwa bwawa litakamilika lini anajibu wanatengeneza njia za usambazaji za dola 800
Lugha gongana na Mkuu Pascal unamtetea kabisa... au ww mwenzetu umeelewa nini kwenye majibu hayo ya waziri utusaidie na sisi vichwa ngumu [emoji1787]
Wizara hii haiwafai vijana wanaotafutiwa pa kulia.Jamaa anasikitisha
Huyu hakuja na biashara ya bwawa, kaja na biashara ya udalali wa gas ndio itumike wanaume wapige mkwanja! (mission msoga)Sijamuelewa kabisa. Maana tunataka bwawa likamilike june 2022.
Huyo ni Social Media Influencer (Hususani JF), ameshapewa bahasha yake tayari kuisafisha wizara mtandaoni.@PascalMayalla!
Ujuwe wewe humu unaheshimika sana kama senior member [emoji120]
Lakini usije ukawa unatetea vitu ambavyo jamii kwa upana wake inaona haviko sawa.
Hiyo clip anachoongea Makamba ni upuuzi mtupu.
Ngoja niulize.....
Anapoongea kwa kusema eti wao wameona mbele zaidi kwa kusaini mkataba mpya wa ujenzi wa njia za usambazaji umeme (Distributions)kutoka bwawani kuingia kwenye gridi ya Taifa.
:Badala ya kukalia tu kwenye ujenzi wa bwawa lenyewe"
Anamaanisha nini?
Anataka kutuaminisha watanzania kwamba
Serikali ya awamu ya Tano ilisaini mkataba wa ujenzi wa Bwawa bila kuwa na mpango wa connection ya usambazaji (distribution)?
Hilo lisingewezekana,maana hata Masanja Kadogosa wa SGR kila siku anapoelezea maendeleo ya mradi wake.
Pia huongelea ujenzi wa vituo vya kupokelea umeme kutoka Bwawa la Nyerere.
Labda Makamba anachofanya hapo ni yaleyale ya kusaini mikataba mipya ili kuweka 10% yake?
Kama tunavyomuona akifanya tangu ameshika wizara hii.
Mbona kwenye hiyo clip haongelei rasmi ni nini kinaendelea na kimefikia wapi kwa sasa?
Huyu ni waziri mpigaji hata Body language yake inaonyesha jinsi anavyotafuta cha kuongea ili kisitibue mpango wake.
mayalla unaheshimika ila angalia usitetee wataokuja kuchafuka na hivyo mkachafuka woote pamoja.
Ahsante.
Huyu kijana kawakosea nini ?Nani apoteze muda kumsikiliza kipara ngoto?
Kama alihujumu naye ni aduiUnamfahamu yeyote aliyekuwa anahujumu?
Mhujumu wa kwanza na Magufuli kwa kuchukua pesa za Tanesco na kuleta Mkandarasi asiye na uwezo wala mtaji.
Mkuu hapo ulipo kuna umeme?Kuna watu wengine wakiambiwa ukweli wanataka walazimishe jambo wanaloliamini wao. Mnataka muambiwe Kama yule eti tunajenga kwa hela za ndani wakati tunakopa?. Na watu wakaamini hivo bila hata kujiuliza? Na ungejifafanya kuuliza sana ungeambiwa umetumwa na mabeberu.
Heshimuni watu wasikilizeni wapeni muda kama walivyoomba.
Lini mimi au wewe hatutimizi malengo kwa muda tuliojipangia.
Mnajua hali ya kisiasa ilivyokua lkn Kila jambo mnalaumu. Why guys? Taifa la kudai kudai in Mwl. Nyerere voice.
Tumepitia njia ya kutimiza matakwa ya mtu mmoja. Jiulize tulipaswa kufanya miradi hii mikubwa ya reli,na bwawa la umeme kwa wakati mmoja kwa uwiano na our real GDP?. Tuna mzingo mkubwa Kama taifa reli kufika mwanza,msongati,Kigoma, nk.
Suala sio kutaka, ni masuala ya kitaalamu kuhusu muda wa kutekeleza na kukamilisha mradi. Tuache siasa kwenye utaalamu.Sijamuelewa kabisa. Maana tunataka bwawa likamilike june 2022.
Kuna utaalamu wa kutekeleza mradi na kutaka. Jamaa anataka kufanya ujenzi kama vile kufanya shopping, unaamua tu kwenda shopping na muda wowote unamaliza.Jifunze kusikiliza huku uki reasons, mbona JM hapa anaeleza kila kitu
P
Nadhani hiyo mitambo ya Tannesco ilikuwa imeoza. Make kila akihojiwa anasema wanafanya marekebisho.Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo .
Kama njia za kusafirisha umeme zimechakaa mbona wakati huyu waziri hajateuliwa hatukusikia habari ya mgao sababu njia za kusafirisha umeme zimechakaa?
Kama njia zimechakaa kwa nini zisifanyiwe ukarabati bila kuwepo mgao unaothiri uzalishaji mali?
Kwanini hatusikii huyu waziri akisisitiza JNHP kukamilika june 2022 kwa manufaa ya umma?