Hata sijamuelewa, yaan anababaika mnoo na hayo madole yake msieeeew.Mimi mwana if mwenzenu, nimefanya mahojiano na Waziri JM na hizi hoja, amezijibu vizuri kwenye mahojiano yangu msikilize hapa kuhusu JNHPP
Pia Waziri JM, amezungumzia issues mbalimbali za Nishati ya umeme, gesi, umeme jua, mkaa, kuni etc
P
Bora umemuambia ukweli huyu mzee, ukute hapo baada ya mahojiano alipewa takrima, afu anakuja hapa kumsifia huyu fisadi kubwa.@PascalMayalla!
Ujuwe wewe humu unaheshimika sana kama senior member [emoji120]
Lakini usije ukawa unatetea vitu ambavyo jamii kwa upana wake inaona haviko sawa.
Hiyo clip anachoongea Makamba ni upuuzi mtupu.
Ngoja niulize.....
Anapoongea kwa kusema eti wao wameona mbele zaidi kwa kusaini mkataba mpya wa ujenzi wa njia za usambazaji umeme (Distributions)kutoka bwawani kuingia kwenye gridi ya Taifa.
:Badala ya kukalia tu kwenye ujenzi wa bwawa lenyewe"
Anamaanisha nini?
Anataka kutuaminisha watanzania kwamba
Serikali ya awamu ya Tano ilisaini mkataba wa ujenzi wa Bwawa bila kuwa na mpango wa connection ya usambazaji (distribution)?
Hilo lisingewezekana,maana hata Masanja Kadogosa wa SGR kila siku anapoelezea maendeleo ya mradi wake.
Pia huongelea ujenzi wa vituo vya kupokelea umeme kutoka Bwawa la Nyerere.
Labda Makamba anachofanya hapo ni yaleyale ya kusaini mikataba mipya ili kuweka 10% yake?
Kama tunavyomuona akifanya tangu ameshika wizara hii.
Mbona kwenye hiyo clip haongelei rasmi ni nini kinaendelea na kimefikia wapi kwa sasa?
Huyu ni waziri mpigaji hata Body language yake inaonyesha jinsi anavyotafuta cha kuongea ili kisitibue mpango wake.
mayalla unaheshimika ila angalia usitetee wataokuja kuchafuka na hivyo mkachafuka woote pamoja.
Ahsante.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vichekesho khaaaahAnaulizwa bwawa litakamilika lini anajibu wanatengeneza njia za usambazaji za dola 800
Lugha gongana na Mkuu Pascal unamtetea kabisa... au ww mwenzetu umeelewa nini kwenye majibu hayo ya waziri utusaidie na sisi vichwa ngumu [emoji1787]
Wee makamba tutolee ujinga wako hapa, msieeeewKuna watu wengine wakiambiwa ukweli wanataka walazimishe jambo wanaloliamini wao. Mnataka muambiwe Kama yule eti tunajenga kwa hela za ndani wakati tunakopa?. Na watu wakaamini hivo bila hata kujiuliza? Na ungejifafanya kuuliza sana ungeambiwa umetumwa na mabeberu.
Heshimuni watu wasikilizeni wapeni muda kama walivyoomba.
Lini mimi au wewe hatutimizi malengo kwa muda tuliojipangia.
Mnajua hali ya kisiasa ilivyokua lkn Kila jambo mnalaumu. Why guys? Taifa la kudai kudai in Mwl. Nyerere voice.
Tumepitia njia ya kutimiza matakwa ya mtu mmoja. Jiulize tulipaswa kufanya miradi hii mikubwa ya reli,na bwawa la umeme kwa wakati mmoja kwa uwiano na our real GDP?. Tuna mzingo mkubwa Kama taifa reli kufika mwanza,msongati,Kigoma, nk.
Mkuu cocastic , this is very fantastic!, sisi binadamu tunatofautiana sana uelewa, naweza kukusaidia kukuelewesha mpaka ukamuelewa.Hata sijamuelewa, yaan anababaika mnoo na hayo madole yake msieeeew.
Anaboa huyu baba khaaah.
Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo .
Kama njia za kusafirisha umeme zimechakaa mbona wakati huyu waziri hajateuliwa hatukusikia habari ya mgao sababu njia za kusafirisha umeme zimechakaa?
Kama njia zimechakaa kwa nini zisifanyiwe ukarabati bila kuwepo mgao unaothiri uzalishaji mali?
Kwanini hatusikii huyu waziri akisisitiza JNHP kukamilika june 2022 kwa manufaa ya umma?
Mkuu Nyankurungu2020 , kwanza hongera sana kwasababu wewe ni msemaji mzuri. Ukiwa ni msemaji mzuri, pia ujifunze kusikiliza, yaani jifunze pia kuwa msikilizaji mzuri wa reasons behind, baada ya kusikia hoja ndipo upangue hoja kwa hoja. Sababu za kukatika katika kwa umeme mara kwa mara zimesemwa zaidi ya mara mia, ila unawezekana wewe hukuwahi kuzisikia!. MsikilizeMpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.
Kuhusu JNHPPbwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Ujenzi wa bwawa sio sawa na ujenzi wa genge la kuuzia nyanya. Genge unaweza kuanza ujenzi asubuhi, jioni ukapanga nyanya zako. Kwenye ujenzi wa bwawa JM amesema kila kitu hapaSijamuelewa kabisa. Maana tunataka bwawa likamilike june 2022.
Mkuu Nyankurungu2020 , kwanza hongera sana kwasababu wewe ni msemaji mzuri. Ukiwa ni msemaji mzuri, pia ujifunze kusikiliza, yaani jifunze pia kuwa msikilizaji mzuri wa reasons behind, baada ya kusikia hoja ndipo upangue hoja kwa hoja. Sababu za kukatika katika kwa umeme mara kwa mara zimesemwa zaidi ya mara mia, ila unawezekana wewe hukuwahi kuzisikia!. MsikilizeMpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.
Kuhusu JNHPPbwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Naendelea kusisitiza naomba jifunze kusikiliza reasons.Unataka kulazimisha kuwa amesema JNHP itakamilika June 2022 na mgao utakuwa umeisha?
Naendelea kusisitiza tujifunze kusikiliza, tatizo lilianzia hapaHa ha haaaa! Kweli aisee, hapa ndugu Paskali aje atufundishe namna ya "kusikiliza na ku reason" tena kwakutumia clip hii hii! Katu ndugu yetu huyu asibaki na na elimu hii peke yake.
Wewe kibaraka wa January? Unapost nini zaidi ya kelele za mpiga madili?Naendelea kusisitiza tujifunze kusikiliza, tatizo lilianzia hapa
Solutions pia tunazo
P
Hapo katika ku-reason ndio pana matatizo. Huyo anaishiTanzania ya kabla ya 2021 March wakati tumefika katikati ya 2022, na wapo wengi wa aina yake.Jifunze kusikiliza huku uki reasons, mbona JM hapa anaeleza kila kitu
P
Umeleta hoja unajibiwa unaanza matusi. Pascal ni mkubwa kiumri mtunzie heshima kwa majibu yenye ustaarabu.Wewe kibaraka wa January? Unapost nini zaidi ya kelele za mpiga madili?
Huna akili wala Iq kujadili mada kama hii unavamia mada wakati huna akili. Kaa kimya endelea na upumbavu uliojaa kichwani kwako.Umeleta hoja unajibiwa unaanza matusi. Pascal ni mkubwa kiumri mtunzie heshima kwa majibu yenye ustaarabu.
Wewe bichwa maji una uwezo gani wa kureason? Pimbi mkubwa usiekuwa na akili.Hapo katika ku-reason ndio pana matatizo. Huyo anaishiTanzania ya kabla ya 2021 March wakati tumefika katikati ya 2022, na wapo wengi wa aina yake.
Wasipokuelewa basi tena.Sitaki kusikiliza kwa sababu zifuatazo.
1. Ikiwa miundo mbinu ni mibovu, je kipindi cha JPm uchakavu huu ulikuwa na Utii?
(i) Yaani nguvu haikuanguka kwa kuwa JPM aliilazisha isianguke, je waya haukukatika kwa kuwa rais amesema? Je vifaa kama transfoma, capacitors n.k zi a hofu na sauti ya rais?
(ii) Je mgawo waliotangaza na baadae kuondolewa kwa kauli ya rais, na baadaye kuja na ngojera nyingine kuwa makadirio yao hayakuwa na usahihi na pia kumbe ujazo wa maji ulikuwa unaongezaka ni kukiri kuwa hawana uoni wa kisayansi au ndio miundo mbinu kuwa na utii kauli za rais?
2. Huyu alipokuwa waziri wa mazingira alikuwa negativu na JNHP Project, je awezeje kutekereza kile alicho kinyume nacho?
(i) Kitendo cha kuja na hoja ya kuwa hakuna winchiya kubeba milango ina ukakasi maana haiwezekani mkandarasi hakujua kuwa moja ya vitendea kazi ni winchi hizo na kuwa hoja hiyo imewashtukiza. Hii ni ngojera yenye mashairi yasio na mizania ya vina. Haimbiki kirahisi.
(ii) Hii habari ya kuulizwa bungeni na kudifendi hoja kwa kusema kama wana haja na uwaziri na kumuingiza rais kama kinga ni mbinu chafu ya kutojibu swali na kujaribu kumuingiza rais katika utendaji wake dhaifu na kufanya watu waamini kuwa kusuasua kwa mradi una baraka za nyumba nyeupe. Jambo ambalo linaweza kuwa si kweli.
(iii) Kukimbilia kuona bora kuingia mikataba na makampuni ili yazalishe umeme inamaanisha hakuna seriousness ya JNHP kukamilika upesi. Inaleta kijana kutoamika kabisa na uwaziri wake japo anau difendi kwa vitisho bungeni lkn yeye ndio sio smart.
Simusikilizi kwa kuwa ameingia na failed to accomplish atitude na kubeza waliomtangulia, na kusema mradi ulikuwa nyuma kuliko ripoti zilizokuwepo. Je mfano wakipewa nafasi ya kum challenge hoja zake itakuwa ni serkali ya aina gani? Sema ni wastaarabu wako kimya au wana hofu na mfumo uliomuweka madarakani.
Kama huyu bado waziri wa hii sekta tutegemee next episode ya mifuko ya hela.
Asiyekuwa na akili ni wewe unaandika ujinga ukijibiwa mapovu yanakumwagika mdomoni.Wewe bichwa maji una uwezo gani wa kureason? Pimbi mkubwa usiekuwa na akili.
JPM kashapumzika usingizi wa milele, wafuasi wake kama wewe mnatokwa mapovu bila hoja yoyote ya maana.Huna akili wala Iq kujadili mada kama hii unavamia mada wakati huna akili. Kaa kimya endelea na upumbavu uliojaa kichwani kwako.
Mkuu Pascal Mayalla hizi ni karne za waziri wa Nishati kuzumguzia transformer kuwa overloaded? Unaingiza tril 1.7 kwa ajili ya kusambaza umeme wakati uzalishaji haujapata uhakukika? Kama sio upigaji ni nini?Mkuu Nyankurungu2020 , kwanza hongera sana kwasababu wewe ni msemaji mzuri. Ukiwa ni msemaji mzuri, pia ujifunze kusikiliza, yaani jifunze pia kuwa msikilizaji mzuri wa reasons behind, baada ya kusikia hoja ndipo upangue hoja kwa hoja. Sababu za kukatika katika kwa umeme mara kwa mara zimesemwa zaidi ya mara mia, ila unawezekana wewe hukuwahi kuzisikia!. Msikilize
Kuhusu JNHPPP.
Ndio maana tunakujua wewe ni mburula. Hayati JPM ameingia vipi hapa?JPM kashapumzika usingizi wa milele, wafuasi wake kama wewe mnatokwa mapovu bila hoja yoyote ya maana.