Ni aibu Tanzania kutokuwa na Kampuni zake yenyewe hasa Ujenzi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
 
Mawazo yako ni mazuri ila ni mawazo ya miaka ya 1960s! Kwa hiyo Serikali ikashakuwa na kampuni zake kama ambavyo leo NHC,SUMA JKT ni Wakandarasi na wanalipwa na Serikali (Serikali inajilipa yenyewe) ! Mtaani hakuna pesa na Sekta binafsi imekufa!

Kingine ujue ujenzi unaendana na technolojia, kuna miradi hatuna teknolojia ya kuendesha na si suala la kuwa na mitambo na waendeshaji tu!

Suala lingine ni "wear and tear", wakati Serikali haina miradi ya kufanya itabidi kulipa /kuingia gharama za uchakavu wa mitambo na pia kuwalipa watu kama wewe mishahara kwa kwenda kupiga story maeneo ya ofisi zenu!
 
Kingine ujue ujenzi unaendana na technolojia, kuna miradi hatuna teknolojia ya kuendesha na si suala la kuwa na mitambo na waendeshaji tu!
Hapa sikubaliani kabisa na wewe, kama hatuna hio teknolojia si ndio fursa ya kuwekeza? Hivi dunia ya Leo tunawezaje kusema hatuna teknolojia Mpwa??

Ukumbuke mkandarasi wa kigeni unayempa hio kazi na yeye anaenda kununua, yaani fedha zako mwenyewe anaenda kununua na iko hivyo hata kwenye mikataba, tunashindwa wapi?
 
Suala lingine ni "wear and tear", wakati Serikali haina miradi ya kufanya itabidi kulipa /kuingia gharama za uchakavu wa mitambo na pia kuwalipa watu kama wewe mishahara kwa kwenda kupiga story maeneo ya ofisi zenu
Nikumbushe ni lini Tanzania hatukua na ujenzi? No, tusianzishe tukiwa na negative minds, why tukose kazi? Haiwezekani kama tutakua competent, let's dream big. Ni wakati wa kuachana na Foreign Contractors wabakie kama Consultants tu
 
Hapa sikubaliani kabisa na wewe, kama hatuna hio teknolojia si ndio fursa ya kuwekeza? Hivi dunia ya Leo tunawezaje kusema hatuna teknolojia Mpwa??

Ukumbuke mkandarasi wa kigeni unayempa hio kazi na yeye anaenda kununua, yaani fedha zako mwenyewe anaenda kununua na iko hivyo hata kwenye mikataba, tunashindwa wapi?
Ndugu hatubishani sana, Zama tulizo nazo sasa si Serikali kumiliki Makampuni bali kujenga mazingira na kuwawezesha watu wake kwa maarifa,mitaji na teknolojia na hatimaye watu hao kuwa na uwezo wa kutafuta miradi mikubwa na kuiendesha!
Serikali inabaki kukusanya kodi katika faida inayoletwa na miradi hiyo! Hivyo ndivyo utajiri wa Nchi unavyojengwa ( Wealth of the Nations by Adam Smith)!
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Engineer mmoja mtaalamu hatoshi. Kampuni kubwa ya construction inahitaji wataalamu wengi sana. Tanzania ina uhaba wa wataalamu kwa ujumla. Na ndio maana hata makampuni ya kiJapan, Korea, China etc wakija kufanya ujenzi wanaleta na watu wao pia waje waendeshe vitengo muhimu vya hio miradi. Pia waTz kuna wenye uswahili. Wengine watajaribu kukuibia equipment, engines etc. Challenges ni nyingi sana. Kwa hio mtu mmoja tu mwenye ndoto kubwa hatoshi. You need a team of highly qualified pros wenye high level of skills and abilities (utaalam mkubwa), great work ethics, na wenye uaminifu wa hali ya juu . Kwa Tz hapo ndio challenge ipo.
 
Nikumbushe ni lini Tanzania hatukua na ujenzi? No, tusianzishe tukiwa na negative minds, why tukose kazi? Haiwezekani kama tutakua competent, let's dream big. Ni wakati wa kuachana na Foreign Contractors wabakie kama Consultants tu
Technology is people. Mark Zuckerberg aliunda facebook na laptop tu bwenini mwake. Lakini alikuwa mjuzi sana wa coding au computer programming. Sasa waTz hata wanachuo wenyewe computer skills hakuna. Wenzetu wanaanza kucheza na vitu kama computer programming, AutoCad etc katika umri mdogo sana. Same kwa other forms of technologies.
 
Ndugu hatubishani sana, Zama tulizo nazo sasa si Serikali kumiliki Makampuni bali kujenga mazingira na kuwawezesha watu wake kwa maarifa,mitaji na teknolojia na hatimaye watu hao kuwa na uwezo wa kutafuta miradi mikubwa na kuiendesha!
Serikali inabaki kukusanya kodi katika faida inayoletwa na miradi hiyo! Hivyo ndivyo utajiri wa Nchi unavyojengwa ( Wealth of the Nations by Adam Smith)!
I agree with you. Serikali imeshindwa kuboresha elimu ili graduates wawe na maarifa makubwa. Ni tatizo kubwa sana hasa kwa Tz. Both formal and informal education ni matatizo sana.
 
Katiba mpya ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania pia haina wanaSiasa wa ukweli. Wapo kimaslahi tu. WaKina Halima Mdee, Joshua Nassary nk. Mtu ukiamua kufanya siasa, uifanye kwa moyo wote kama Mandela, Martin Luther King Jr wa USA, Malcolm X etc ambao ni wanasiasa walioingia in politics kupambania malengo fulani na hawakukata tamaa hadi yakatimia. Kwa wanaSiasa wetu Tz wenye njaa kubwa na kigeugeu, katiba mpya haitatokea leo wala kesho.
 
Na watu wa chama tawala ndio hao wanaiba building materials kwa miradi mikubwa ya taifa:
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Ilikuwepo MECCO wakati wa Julius
 
Kipindi Library mpya ya UDSM inajengwa niliona wachina wakiendesha zile cranes ndefu za construction wakitoka wanakuja kitumia free Wi-Fi Yombo alafu wanakula chips na wali pale Yombo Cafeteria yote hayo nadhani kwasababu mradi ulikua unajengwa na ufadhili wa hela za wachina na wao wakapenyeza maingineer na wafungwa wao wapige kazi.
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Pia mazingira ya kisiasa nchini sio mazuri. Kuna kodi nyingi sana. Mtu utafanya mradi mkubwa kama huo wa a giant construction company ila utaingiliwa sana na serikali.
 
Kipindi Library mpya ya UDSM inajengwa niliona wachina wakiendesha zile cranes ndefu za construction wakitoka wanakuja kitumia free Wi-Fi Yombo alafu wanakula chips na wali pale Yombo Cafeteria yote hayo nadhani kwasababu mradi ulikua unajengwa na wachina na wao wanapenyeza maingineer na wafungwa wao wapige kazi.
Imagine kuwa kwa nchi kama China wafungwa ndio wanaendesha vitu kama hivyo.. tena kwa umakini sana.
 
MECCO walikuwa hadi na timu yao daraja la kwanza.
Wanyakyusa ndugu zangu MECCO mmeua, ZZK mmeua. Yaani enzi hizo Iyunga ilikuwa ni Industrial area kwerii kwerii
 
Back
Top Bottom