Ni aibu Tanzania kutokuwa na Kampuni zake yenyewe hasa Ujenzi

MECCO walikuwa hadi na timu yao daraja la kwanza.
Wanyakyusa ndugu zangu MECCO mmeua, ZZK mmeua. Yaani enzi hizo Iyunga ilikuwa ni Industrial area kwerii kwerii
Enzi hizo serikali ilitia juhudi kubwa sana kuwa na wataalamu. Hadi nje wengi walipelekwa kusoma. Na ndio maana wazazi wetu walipata elimu ya hali ya juu zaidi. Hata UDSM enzi hizo na leo is not the same. Wakati vyuo vya nchi nyingine vinakua kitaaluma, nchi yetu vinashuka standard. Sad!
 
Nakumbuka Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar hapo Mikocheni ni viwanda vya kutosha na mainjinia ni watanzania.

Hapa Iringa palikuwa hadi na kiwanda cha kukata Almasi kiliitwa TANCUT.
 
Bw PGO ..
mada uliyoileta hapa inastahili kupata LOCAL NOBLE PRIZE,na wote wamechangia ki ukweli kabisa huku wakiwa na uchungu.
Wako wapi J S KHAMBAITA,PENFOLD,MOLLEL ELECTRICAL ENGINEERS.....just to mention few of them.
Tufanze maamuzi magumu...uhuru tulioupata 61 tuurudishe kwa wakoloni ili warudi kututawala na kutucharaza viboko mpaka tushike adabu.Tukishajifunza waondoke na sisi tuendelee kuanzia hapo.
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
CRB, ERB, AQRB, NCC, TBA, SumaJkt, mzinga holdings

They are just a joke
 
Bw PGO ..
mada uliyoileta hapa inastahili kupata LOCAL NOBLE PRIZE,na wote wamechangia ki ukweli kabisa huku wakiwa na uchungu.
Wako wapi J S KHAMBAITA,PENFOLD,MOLLEL ELECTRICAL ENGINEERS.....just to mention few of them.
Tufanze maamuzi magumu...uhuru tulioupata 61 tuurudishe kwa wakoloni ili warudi kututawala na kutucharaza viboko mpaka tushike adabu.Tukishajifunza waondoke na sisi tuendelee kuanzia hapo.
Barikiwa Mpwa
 
Nakumbuka Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar hapo Mikocheni ni viwanda vya kutosha na mainjinia ni watanzania.

Hapa Iringa palikuwa hadi na kiwanda cha kukata Almasi kiliitwa TANCUT.
So, where did we go wrong?
 
Engineer mmoja mtaalamu hatoshi. Kampuni kubwa ya construction inahitaji wataalamu wengi sana. Tanzania ina uhaba wa wataalamu kwa ujumla. Na ndio maana hata makampuni ya kiJapan, Korea, China etc wakija kufanya ujenzi wanaleta na watu wao pia waje waendeshe vitengo muhimu vya hio miradi. Pia waTz kuna wenye uswahili. Wengine watajaribu kukuibia equipment, engines etc. Challenges ni nyingi sana. Kwa hio mtu mmoja tu mwenye ndoto kubwa hatoshi. You need a team of highly qualified pros wenye high level of skills and abilities (utaalam mkubwa), great work ethics, na wenye uaminifu wa hali ya juu . Kwa Tz hapo ndio challenge ipo.
Well said, umeshawahi kufuatilia CVs za hao wanaoita high qualified Engineers? Kuna mahali nilikuepo (naomba nisiongee sana) ila huyo Expert ali-google samples za udongo namna ya ku-test hizo qualities..... Sijaiweka vizuri kwakua sio Field yangu lakini kando aliekuepo Mtanzania ndio akawa ananielezea! Haikuchukua muda mbongo aliacha kazi, kwahio sikubaliani sana na hao wanaoitwa high qualified Engineers.... Tunao wa kwetu! Kama hatuna basi let's train them maana hata hao walikua trained.
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Tanzania tuna maintenance engineers wengi, na design engineer wachache sana. Kazi zote kubwa na muhimu utakuta wazungu, wachina, wamisri, wahindi ndio viongozi wa projects. Engineers wa kitanzania wanakuwepo kama technicians tu. Inasikitisha sana
 
Well said, umeshawahi kufuatilia CVs za hao wanaoita high qualified Engineers? Kuna mahali nilikuepo (naomba nisiongee sana) ila huyo Expert ali-google samples za udongo namna ya ku-test hizo qualities..... Sijaiweka vizuri kwakua sio Field yangu lakini kando aliekuepo Mtanzania ndio akawa ananielezea! Haikuchukua muda mbongo aliacha kazi, kwahio sikubaliani sana na hao wanaoitwa high qualified Engineers.... Tunao wa kwetu! Kama hatuna basi let's train them maana hata hao walikua trained.
Hao foreigner kwa asilimia kubwa wanazidi wa kwetu in exposure, technical abilities and experience. Tatizo lao pia unakuta hawatuamini sana waAfrica. Hata moyoni wanasema kama hawa watu wana uwezo sana si hii miradi wangeifanya wao wenyewe? Hapo ilitakiwa kama hajui kitu, mTz amsaidie. Of course hata engineer hauwezi jua everything.

Upande mwingine kuna tatizo pia la waTz wengine utakuta hajua kitu ila anasema nakijua. Mfano mafundi wa gari. Wanajifunzia kwa gari lako. Sasa kama mweupe ameshauliza mtu kitu akapotoshwa.. anaweza asiamini tena.

Siwezi kumtetea huyo mweupe.. ila ndio hivyo, tayari wana superiority complex baada ya yeye mweupe kukabidhiwa mradi mkubwa na anaona kuliko nimuulize mTz afadhali niulize Google.

Kind of sad bcoz waAfrica tutaendelea kudharauliwa tu hadi tutakapojikimu wenyewe.
 
Mentality ya wengi wakiwepo wataalam na viongozi ni kuunda taasisi za udhibiti.
Hili ndilo tatizo kuu.
Udhibiti unatakiwa uimarishwe baada ya kuwa na makampuni ya wazawa yanayotumia tecknolojia na ubunifu wa aina mbalimbali.
Wasomi wengi wajengewe uwezo wa kujiajiri kwa miradi yao binafsi ili ubunifu wao uwe na tija kwa maendeleo ya nchi.
 
Mawazo yako ni mazuri ila ni mawazo ya miaka ya 1960s! Kwa hiyo Serikali ikashakuwa na kampuni zake kama ambavyo leo NHC,SUMA JKT ni Wakandarasi na wanalipwa na Serikali (Serikali inajilipa yenyewe) ! Mtaani hakuna pesa na Sekta binafsi imekufa!

Kingine ujue ujenzi unaendana na technolojia, kuna miradi hatuna teknolojia ya kuendesha na si suala la kuwa na mitambo na waendeshaji tu!

Suala lingine ni "wear and tear", wakati Serikali haina miradi ya kufanya itabidi kulipa /kuingia gharama za uchakavu wa mitambo na pia kuwalipa watu kama wewe mishahara kwa kwenda kupiga story maeneo ya ofisi zenu!
Sijui Kama unalielewa hili suala kwa undani,wakati makampuni ya China Railways yana anzishwa,CCECC,CRBC,CCCC na mengineyo sisi tulianzisha MECCO yaani Mwananchi Construction Company hii ilikuwa kampuni ya umma Kama yalivyo makampuni ya CREC China.
MECCO ilikufa lakini CREC Wana makampuni makubwa ya kimataifa na China hakuna Reli Wala miradi ya Barbara imejengwa na wageni .
Swali tunasomesha ma injinia wa kazi gani.
2. Tunapoteza kiasi gani Cha fedha kulipa makampuni haya ya kigeni.
3. Makampuni haya yanapokuja yanakuja na wafanyakazi Hadi ma foreman,walinzi na wanalipana Mara 5 zaidi ya mshahara wa foreman wa kitanzania mfano mlinzi wa mitambo na magari wa kichina asiyekuwa na fani yoyote analipwa kuanzia 3m kwenda juu chakula usafiri na malazi bure.
4.tambua pesa za mradi zinarudi kwa wananchi kwa njia kuu mbili
a) Huduma
b) Ajira
Unataka kutuambia kampuni ikiwa wa umma haitahitaji Huduma Wala haitatoa Ajira?
Faida kwenye hii miradi huwa 15 to 20% pesa nyingine ya mradi huwa unaenda kwenye Huduma za mradi na Ajira.
Nadhani ulikaririshwa huko nyuma kuwa eti kwa kuwa serikali haitoi kandarasi kwa watu binafsi wazawa ndio maana pesa haipo mtaani.
Sio kweli hata kidogo mradi apewe yeyote sehemu kubwa ya pesa ni manunuzi ya vifaa na nahitaji ya mradi mfano,nondo,mabati,cement nk.
Kwa kuwapa wageni kujenga Barabara tunapoteza Sana Kama nchi pesa inayohamishiwa nje kwa ajiri mishahara ya wageni na faida ya hayo makampuni.
Lakini hivi kweli kwa sasa tunahitaji kujengewa Barabara ya Rami na wageni?
Kwa mtizamo huu ma injinia wetu mtasota Sana mtaani poleni.
 
Badili mindset yako, mnapenda sana kuajiriwa na Serikali!
Ninachosema si kwamba Makampuni ya nje ndo yapewe tender pekee hapana! Nyie mliosoma anzisheni Kampuni zenu mtafute miradi siyo kupenda miteremko ya kujificha kwenye vichaka vya kuajiriwa!
Tatizo vijana wengi wa Tanzania hamna business mentality! Mnasoma kwa kukariri then mnakimbilia Ajira za Serikali! Zama hizo zilishapita.
 
Sijui Kama unalielewa hili suala kwa undani,wakati makampuni ya China Railways yana anzishwa,CCECC,CRBC,CCCC na mengineyo sisi tulianzisha MECCO yaani Mwananchi Construction Company hii ilikuwa kampuni ya umma Kama yalivyo makampuni ya CREC China.
MECCO ilikufa lakini CREC Wana makampuni makubwa ya kimataifa na China hakuna Reli Wala miradi ya Barbara imejengwa na wageni .
Swali tunasomesha ma injinia wa kazi gani.
2. Tunapoteza kiasi gani Cha fedha kulipa makampuni haya ya kigeni.
3. Makampuni haya yanapokuja yanakuja na wafanyakazi Hadi ma foreman,walinzi na wanalipana Mara 5 zaidi ya mshahara wa foreman wa kitanzania mfano mlinzi wa mitambo na magari wa kichina asiyekuwa na fani yoyote analipwa kuanzia 3m kwenda juu chakula usafiri na malazi bure.
4.tambua pesa za mradi zinarudi kwa wananchi kwa njia kuu mbili
a) Huduma
b) Ajira
Unataka kutuambia kampuni ikiwa wa umma haitahitaji Huduma Wala haitatoa Ajira?
Faida kwenye hii miradi huwa 15 to 20% pesa nyingine ya mradi huwa unaenda kwenye Huduma za mradi na Ajira.
Nadhani ulikaririshwa huko nyuma kuwa eti kwa kuwa serikali haitoi kandarasi kwa watu binafsi wazawa ndio maana pesa haipo mtaani.
Sio kweli hata kidogo mradi apewe yeyote sehemu kubwa ya pesa ni manunuzi ya vifaa na nahitaji ya mradi mfano,nondo,mabati,cement nk.
Kwa kuwapa wageni kujenga Barabara tunapoteza Sana Kama nchi pesa inayohamishiwa nje kwa ajiri mishahara ya wageni na faida ya hayo makampuni.
Lakini hivi kweli kwa sasa tunahitaji kujengewa Barabara ya Rami na wageni?
Kwa mtizamo huu ma injinia wetu mtasota Sana mtaani poleni.
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa inapaswa TANZANIA iwe na kampuni yake ya Ujenzi Ili cash flow ya miradi ya Ujenzi ibaki Tanzania ila nikuonye tu, china wameweza na wanaonekana na mafanikio ya hizo kampuni kwasababu ya adhabu ya kunyonga kwa watumishi wanaokosa uaminifu.

Kwa TANZANIA hii Miradi yote ikibaki kwa kampuni ya Ujenzi ya taifa, jiandae kupata Barabara mbovu , Majengo mabovu na madaraja mabovu!

Uzoefu unaoesha mashirika ya umma hayana ufanisi. ATCL, TANESCO, NSSSF, TRC, N
K

Ili wazo lako liwe na mashiko lazima tuanzishe sheria ya kunyonga pale inapotokea Mtu amehujumu miradi ya taifa. Tusitake kuwaiga wachina kwa kuwa na mashirika tu wakati hatutaki kuiga na adhabu zao kwa uharibifu utakaokuwa unafanywa na Wahandisi mafisadi.

All in all siungi mkono wazo lako Lina hasara kubwa kwa taifa kuliko faida!

Acha mwenye uwezo afanye kazi
 
Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.

Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark

Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .

Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.

Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.

Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.

Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.

Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.

Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .

Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/

Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?

Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??

Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?

SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.

Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.

Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Kama sekta binafsi tunayoamini ina ufanisi ina kampuni chache Sana za daraja la kwanza na zenye mitaji ndio itakuwa kampuni za Umma?

Nani atazisimamia kwa tija? Swala la msingi serikali iziwezeshe kampuni za wazawa kwa mitaji na ufadhili wa utaalam.
 
Ukienda Msata au Msolwa kuna kampuni za Indians na Chinese wanafanya quarrying.

Kuna ujenzi wa BoT office ya Mwanza, ujenzi ule ungeweza kufanywa na Tanzanian companies au fursa zingine kama yafuatayo yangezingatiwa,
Mtaji au fursa ya kupata mtaji kutoka benki ya uwekezaji
Serikali kuweka na policy ya kuwapa local sub-contracts kwa miradi mikubwa ili wajenge uwezo,
Serikali kuweka mfumo wa engineers kuwa incubated under mentorship ya kampuni kubwa.

Ila pia locals nao wakipewa kazi wafanye kweli.

JPM alionesha mfano kwa kulazimisha kuwapa SUMA JKT miradi, TBA na Mwananchi Housing ili fedha zibaki ndani, otherwise huko nyuma mradi wa nyumba kama za magomeni "kota"; ile ngoma ilikuwa inapelekwa kwa Mchina ili sisi wabongo tupige cha juu.

Tanzania yaweza kufanya mengi kama Serikali itakubali kuwa baba na mama wa kulinda sera ya uzawa kwa projects ambazo locals wanaweza kufanya.
Ukienda kwenye quarrying machines, wachina na indians wanafanya kazi za management, ila wabongo kazi ngumu za production of aggregates.

Kama kwenye production tunaweza na uhitaji wa aggregate kama raw material ya ujenzi iwe ni SRG, lami au ujenzi wowote, kwanini nchi isiwe na policy ya ku-ban wageni kufanya kazi kama hizo; ukisema uzuie, waswahili hawana fedha za kununua mitambo ya kusaga kokoto.

Hapo ndipo lazima serikali itoe financial leverage kama vile inavyokopesha wanafunzi wa vyuo, by that, mikopo itarudi kwa mauzo ya kokoto na fedha zitabaki ndani na kuwekezwa kwenye secta zingine.

Kama hatutabadili sera na kuwa na utashi wa kuwa opportunities locals; tutasubiri sana.
 
Engineer mmoja mtaalamu hatoshi. Kampuni kubwa ya construction inahitaji wataalamu wengi sana. Tanzania ina uhaba wa wataalamu kwa ujumla. Na ndio maana hata makampuni ya kiJapan, Korea, China etc wakija kufanya ujenzi wanaleta na watu wao pia waje waendeshe vitengo muhimu vya hio miradi. Pia waTz kuna wenye uswahili. Wengine watajaribu kukuibia equipment, engines etc. Challenges ni nyingi sana. Kwa hio mtu mmoja tu mwenye ndoto kubwa hatoshi. You need a team of highly qualified pros wenye high level of skills and abilities (utaalam mkubwa), great work ethics, na wenye uaminifu wa hali ya juu . Kwa Tz hapo ndio challenge ipo.
Inamaana hatuna wataaalam wa kuunda kampuni moja tu? MECCO iliwezaje?
 
Back
Top Bottom