Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

Upinzani haupo bungeni kwa wizi wa kura wa yule punguani taarifa au udhaifu wa serikali wangeutoa chooni? Muwe mnafikiria kabla ya kuandika maujinga haya
Kwani kila kitu kinapatikana bungeni? POLE SANA
 
Ungesema muda wa kufanya nn ungeonekana wa maana hapa unaonekana kama KASUKU/KIKARAGOSI tu unayeitikia mwimbo wowote
ni zumbukuku kama wewe ambae hujaelewa hapa....kwisha habari yenu endeleeni kulamba asali na kujikomba mtavuna mabua
 
Upinzani haupo bungeni kwa wizi wa kura wa yule punguani taarifa au udhaifu wa serikali wangeutoa chooni? Muwe mnafikiria kabla ya kuandika maujinga haya
Kwani kila kitu ni lazima ukaongee bungeni kwani mikutano ya siasa mliofunguliwa ni kumsema sema marehemu Magufuli na stupid
 
Sikiliza nikuambie wewe kwenye mikutano ya hadhara sera na mipango ya hovyo ya serikali yenu inasemwa sana mfn watu walisema bodaboda siyo ajira mkaanza kujambiana .
Magufuli anasemwa na atasemwa sana kwasababu alikuwa muovu dhidi ya binaadam? Ben sanane, Anzory grandad na wengine weeeengi aliowapoteza kwa ufedhuli wake
Kama hutaki asemwe kamfufue uzikwe wewe
 
Hizo ni sera au majungu?
 
CAG anachofanya ni kuivua nguo serikali KILA mwaka kama hatua hazichukuliwi
 
Back
Top Bottom