Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa utafikiri watachangia kumnunulia pampaz na ada ya shule.Lini utaongeza mtoto mwingine?
Huoni kama Aisha anahitaji mdogo wake
Mbona mkeo ananenepa sana ?Hahaaaaaa utafikiri watachangia kumnunulia pampaz na ada ya shule.
Alitaka asikie amedanja au ,,,
Hapo unamjibu
Mtu akiwa na michepuko mingi lazima aulize hivoWe nani ?
Wakati ye ndo wa kwanza kukutafuta
Utaoa lini ?Bado unaishi kwa wazazi hadi leo?