Ni aina gani ya maswali ambayo siyo busara kuuliza ovyo ovyo?

Mtu anakukuta bar halafu anakuuliza umekuja kufanya nini!
Nalog off
 
Kama ni ndugu wa damu tumbo moja ukimuuliza ni sawa tu katika kutaka kumsaidia kimawazo!

Hata rafiki akikuuliza ni sawa tu.
 
Kama ni ndugu wa damu tumbo moja ukimuuliza ni sawa tu katika kutaka kumsaidia kimawazo!

Hata rafiki akikuuliza ni sawa tu.
Kuna mtu kaniuliza ninatumia milion ngapi kwa mwezi

Nikamjibu sio zaidi ya milion mbili

Eti akaanza kunilalamikia mimi bahili sana wa kutumia pesa
 
Kuna wale unaanzisha uzi wanauliza "Wapi picha..?"
Halafu uzi wenyewe ni swali umeuliza "jamani msaada wapi naweza pata nyumba ya kupanga"
Linatokea kenge huko linauliza wapi picha!😅
Bila picha hii comment ni uzushi kama uzushi mwingine
 
Wakati unaongea ghafla anayekusikiliza anakukatiza na kukuuliza umepiga mswaki leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…