Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mtu anakukuta bar halafu anakuuliza umekuja kufanya nini!
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes swali la kipuuzi kweliBado unaishi kwa wazazi hadi leo?
Au mtu anakukuta umevaa shati lenye picha ya Magufuli halafu anakuuliza, ccm unaipendea niniMtu anakukuta bar halafu anakuuliza umekuja kufanya nini!
Nalog off
Khaaa...Vipi gari umeacha wapi?
Mmmh..Au mtu anakukuta umevaa shati lenye picha ya Magufuli halafu anakuuliza, ccm unaipendea nini
Ndukiiii
Ukiona hivyo kashaona kuwa huna chochote
Kuna mtu kaniuliza ninatumia milion ngapi kwa mweziKama ni ndugu wa damu tumbo moja ukimuuliza ni sawa tu katika kutaka kumsaidia kimawazo!
Hata rafiki akikuuliza ni sawa tu.
Swali konyo sana hiloMbona umechafuka nyuma?
Bila picha hii comment ni uzushi kama uzushi mwingineKuna wale unaanzisha uzi wanauliza "Wapi picha..?"
Halafu uzi wenyewe ni swali umeuliza "jamani msaada wapi naweza pata nyumba ya kupanga"
Linatokea kenge huko linauliza wapi picha!😅
Wewe kabila gani/dini gani?
Wewe chama gani ?Mpaka dini tena?[emoji849]
Hilo swali huwa wanauliza watu ambao walipita hiyo njia bila kusalimia mwanzoniApa kuna njia[emoji23]