Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

 


ohh kwa hapo sawa..
 
Popo utajuta!
Ukianza kutoa vimatunda tu watakunya adi kwenye madirisha nilingoaga!
Ndio maana mti mzuri Ila sio watu wengi utakuta wameuotesha!


duh.m bas mie ndo nmeipandaaa...kwebye kila angle ya nyumba nimeupanda ..hatar hii
 
Mkurungu unakivuli kizuri sana na unachanuwa kama movuli hivi nimeutafuta sana ni adimu hapa Dar. ila ukiupata tafadhali naomba nitag nauhitaji sana
 
Miti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
 
Umenifungua...nilivyokuwa napenda garden sasa! Ningejuta badae
 
utatusaidia kwakweli

Ni hii hapa Nimejaribu kuifuatilia jina si Mkurungu kama nilivyoanisha awali so kama kunawajuzi watujuze ni aina gani huu mti.
 

Attachments

  • IMG-20181128-WA0015.jpg
    119.8 KB · Views: 381
  • IMG-20181128-WA0017.jpg
    122.8 KB · Views: 367
Kwamba muarobaini hauna thamani siku hizi? Naona hautajwi
Muarobaini una faida nyingi sana ila upande mbali na nyumba, kwanza ni mchafuzi sana wa mazingira ukianza pukutisha majani, hatari kuliko yote mizizi yake inatembea kwa kasi na mara nyingi hupenya hadi kwenye mifumo ya mifereji ya maji taka na kusababisha kuziba.
Usije thubutu kuupanda karibu na nyumba labla shamba...
 
Ni hii hapa Nimejaribu kuifuatilia jina si Mkurungu kama nilivyoanisha awali so kama kunawajuzi watujuze ni aina gani huu mti.
Mkuu hapa kama mitaa fulani ya mjini moshi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…