Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Miti hy hapo yote unaweza lima shamba, mtazamo wangu japo lengo anataka miti ya kivuli kwa bustani ya nyumbani, Sio dhambi akipata kivuli na matunda pia, unapanda mti mmoja mmoja ya matunda tofltofauti, utapata kivuli na matunda pia. Be multipurpose.[QUOTE

ni kweli mkuu ila mm kama manengelo swez upanda ht
Naujua bana..kumbe ndio mharadali..I thought mharadali is a fictional tree kutoka kwenye kitabu chenu nyie wapenda mungu!

Ila nikipata hela lazima ninunue miche ya mbele ije kwa ndege airport nikapande...Mbele ni aibu kwa miti acha kabisa!

Whether zinakubali either way,maana ukichukia Italy au LA au hata Miami ni nearly the same![/QUO

utaumbuka mkuu..landa uniambie utaishj sehem za baridi.. mimi nimetoka na maua mkoa fulan wa baridi huku imegoma ng'o..au sijui utengeneze shade... wenzetun ni shida huwa nagandaga instagardenlovers had nasema dah!wale ni noma
 
Inakubali mkuu,tena kama unataka unapata hybrid zake..

Unasema whether region yako tu miti inakuja tu unaweka kwenye cart wanakutumia ulipo....Kuna nchi Ulaya and America whether ni nearly the same mkuu.....Kama Italy,LA,Miami,Turkey,South America,etc....Ni mbegu tu watu hawajaamua kununua na kupanda!

ohh kwa hapo sawa..
 
Popo utajuta!
Ukianza kutoa vimatunda tu watakunya adi kwenye madirisha nilingoaga!
Ndio maana mti mzuri Ila sio watu wengi utakuta wameuotesha!

duh.m bas mie ndo nmeipandaaa...kwebye kila angle ya nyumba nimeupanda ..hatar hii
 
1543238021493.png
 
Mkurungu unakivuli kizuri sana na unachanuwa kama movuli hivi nimeutafuta sana ni adimu hapa Dar. ila ukiupata tafadhali naomba nitag nauhitaji sana
 
Miti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
 
Umenifungua...nilivyokuwa napenda garden sasa! Ningejuta badae
 
utatusaidia kwakweli

Ni hii hapa Nimejaribu kuifuatilia jina si Mkurungu kama nilivyoanisha awali so kama kunawajuzi watujuze ni aina gani huu mti.
 
Attachments

  • IMG-20181128-WA0015.jpg
    IMG-20181128-WA0015.jpg
    119.8 KB · Views: 381
  • IMG-20181128-WA0017.jpg
    IMG-20181128-WA0017.jpg
    122.8 KB · Views: 367
Kwamba muarobaini hauna thamani siku hizi? Naona hautajwi
Muarobaini una faida nyingi sana ila upande mbali na nyumba, kwanza ni mchafuzi sana wa mazingira ukianza pukutisha majani, hatari kuliko yote mizizi yake inatembea kwa kasi na mara nyingi hupenya hadi kwenye mifumo ya mifereji ya maji taka na kusababisha kuziba.
Usije thubutu kuupanda karibu na nyumba labla shamba...
 
Ni hii hapa Nimejaribu kuifuatilia jina si Mkurungu kama nilivyoanisha awali so kama kunawajuzi watujuze ni aina gani huu mti.
Mkuu hapa kama mitaa fulani ya mjini moshi...
 
Back
Top Bottom