Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu
Chief-Mkwawa
Binadamu Mtakatifu
Hawa ndo ninaowajua humu, karibuni.

Zipo nyingi sana hasa kwa upande wa funtional ones with user feedback that can ease our daily life. Pia kwenye education, we lack students representation on their daily education's struggles or a way to bring up their innovative self to the surface.
 
Tatizo kubwa la wabongo ukitengeneza kitu kama umejitengenezea hawana mda nao
I agree but it depends. Karibu kila kitu kipo kwenye tovuti au app siku hizi. You just need to come up with a spin plus a form of incentives. Kitu kingine cha kuangalia, creators au publisher inabidi waangalie maswahi kwa upana. Sio kujiangalia wao wanapata nini kwanza.

Nina idea moja ambayo in target education space, I am sure if I start today, it will take off within no time.
 
Kila la kheri kuna jamaa anayo ya mitihani online sijui alifika wap?
 
Asante. Hiyo ya mitihani siifahamu. Was it an app or website? Please share if you can. I will learn a thing or two.

Bado sijaanza kuifanyia kazi hiyo ya education. Kwa sasa kuna app ndio inanichukulia muda mwingi ku-develop.
 
Niwebsite mkuu ila link nimesahau but seems like was created by Wp this is big mistake for developer
 
Back
Top Bottom