Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
We acha tu mkuu ndo nimeamua rasmi kuiachaInahitaji promotion ya nguvu, si unaona forum yako inavyostrugle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu mkuu ndo nimeamua rasmi kuiachaInahitaji promotion ya nguvu, si unaona forum yako inavyostrugle
Sio wazo baya ila kuna matatizo, ni kwa nani au ni wapi utapata taarifa za watumishi wote wa uma? Je unaamini una haki ya kumiliki na kuweka hizo data mtandaoni hata ukizipata? Hilo tatizo namba moja, tatizo jingine ni hii site itajiendesha vipi, revenue itatoka wapi? Demand ipo kiasi gani, ni watu wangapi wanahitaji kuhama namna hii kwa mwaka?Kwanza kabisa tovuti ya kuhamisha watumishi wa umma ambayo ita link na database ya watumishi wa umma , ambayo kwa wale watumishi wanao taka kubadilishana vituo vya kazi badala ya kuandika matangazo kwenye ubao wa matangazo halimashauri watakuwa wana weza kuingia kwenye hiyo tovuti
Tovuti ifanye kazi hii, kwanza mtumishi anaye taka kuhama kituo chake cha kazi kwa mfumo wa kubadilishana vituo awe anaweza kuingiza details za mkoa na wilaya na mahali anapo fanyia kazi yani na kituo cha kazi halafu ana chagua sehemu ambazo anataka kuhamia na idara anayo taka kuhamia ikibidi na kituo cha kazi
Halafu kwa wale wanao taka kubadilishana nae kituo cha kazi nae akingia anajaza taarifa zake za eneo alipo nanakisha ingiza tu taarifa zake nanakajaza mkoa anao taka kuhamia na wilaya mfumo uta recall taarifa alizo jaza wa yule wa mwanzo aliye request then atachagua kulingana na idadi za request zitakazo pop up kulingana na wilaya aliyo jaza ,hivyo atachagua anapo taka na ku link na muhusika halafu itatoka fomu ambayo ita sainiwa na mkurigenzi na utumishi kuhamisha mshahara na kufunga data sheet mnahama chap.
Faida :
Itapunguza sana usumbufu wa kuzunguka na barua wilayani ,mkoani na TAMISEMI , lakini kwakuwa wahamaji watabadirisha vituo vya kazi moja kwa moja hakutakiwa na upungufu wa watumishi wa umma. Unao tokana na kuhama.pia itapunguza kupotea kwa muda.
Ingawa nahisi hii itakuwa project kubwa kwa sababu ni muhimu mfumo uweze kutambua watumishi wote kwa kada zote na vituo vyao vya kazi ili mambo yawe mepesi
Kazi kwenu ma programmers
Kwanza ikitengenezwa itamilikiwa nanserikali kama zilivyo sites zingine za serikali,Sio wazo baya ila kuna matatizo, ni kwa nani au ni wapi utapata taarifa za watumishi wote wa uma? Je unaamini una haki ya kumiliki na kuweka hizo data mtandaoni hata ukizipata? Hilo tatizo namba moja, tatizo jingine ni hii site itajiendesha vipi, revenue itatoka wapi? Demand ipo kiasi gani, ni watu wangapi wanahitaji kuhama namna hii kwa mwaka?
Hii inaweza kuwa usefull ikitengenezwa/kumilikiwa na serikali nadhani.
Nicheki nikufanyie Designing ya muinekano was hio platformNafkiri website ya maswala ya Starehe ndio utapiga hela.
Mfano Bar or night clubs kali zinakuw zinapigiw kura siku husika kuonyesha wapi kuna VIBE la kutosha.
Pia wazee wa Lodge... Machimbo yale yaliyojificha... Ewaaaa... mambo kama hayo.
Pia, Online dating iliyo serious kidg.. Aah utakula hela..
Ndio ile jamiitalk unaachana nayo unamaanisha??We acha tu mkuu ndo nimeamua rasmi kuiacha
Naomba tuwasiliane kwa meseji 0693010101 Kuna mambo nataka nikuulize[emoji4] wabongo hawawezi kucomment hapa
NimekuchekiNaomba tuwasiliane kwa meseji 0693010101 Kuna mambo nataka nikuulize
I'm Dev tooNicheki nikufanyie Designing ya muinekano was hio platform
😭😭I'm Dev too