Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

Kwa ujumla hakuna watumiaji ambao wako tayari kulipa chochote ushaona humu watu wanasugest watu wapost kazi zao bure, infrastructure ya malipo mtandaoni sio nzuri no credit cards no recuring payments, wabongo ni wachache mtandaoni kwa ujumla, bongo sio target ya watu wanaoweka matangazo mtandaoni so hata Ad revenue ovyo, so hakuna sababu ya kujilimit kwa kutengeneza tovuti ya "bongo" bora utenegeneza za kulenga market kubwa zaidi.
 
Changamoto ni nyingi na waziri wake kihiyo.
 
Kuna mwanahabari maarufu hapa bongo alishawahi kukumbana na wajanja kwenye website yake siku nzima ilishikiliwa hakupost kitu alihangaika ku recruit watu kuirudisha wakawa wanapambana lakini msela akawa anapangua mwisho wa siku akawaacha tu sabu hakua na nia mbaya nae.... Pia kuna kampuni ya simu kubwa tu hapa nchini na kongwe website yake ilishawahi kushikiliwa siku 2 mfululizo..... Kuna wabongo wako na ma uwezo kiasi chake kuhusu udukuzi afu hata huwezi kuwa dhania ukiwaona au ukiwajua...
 
Nataman kupata MASTORY mengi ya udukuzi
 
Hebu nioneshe wapi nimelaumu hapo[emoji848][emoji848]
Tovuti ya kudownload muvi za nje
Wenzetu Nigeria wana Netnaija.com, Wakorea wana Nkiri.com sisi yetu hatuna
Kitendo cha kusema sisi hatuna tayari unalalamika kwanini wakorea na wanaijeria wanazo ila sisi?
Mimi baada ya kugundua hatuna website fulani nilianzisha mwenyewe na inafanya vizuri na ninapiga hela kuna watu (wateja) wananitumia hela kutoka Kenya, Uganda, Zambia, Pakistan, Tanzania.
 
Hongera mkuu kwa website yako uliyoianzisha[emoji2320][emoji2320]
Pengine mimi kuanzisha website sio ndoto yangu ndio maana sijaanzisha ila ningependa tu na sisi walau tungekuwa na website kama hiyo.
Pia mimi sina huo uwezo wa kutengeneza website ambao unadai ninao kwa sababu sina elimu hiyo.
 
Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu
Chief-Mkwawa
Binadamu Mtakatifu
Hawa ndo ninaowajua humu, karibuni.
Kwanza kabisa tovuti ya kuhamisha watumishi wa umma ambayo ita link na database ya watumishi wa umma , ambayo kwa wale watumishi wanao taka kubadilishana vituo vya kazi badala ya kuandika matangazo kwenye ubao wa matangazo halimashauri watakuwa wana weza kuingia kwenye hiyo tovuti

Tovuti ifanye kazi hii, kwanza mtumishi anaye taka kuhama kituo chake cha kazi kwa mfumo wa kubadilishana vituo awe anaweza kuingiza details za mkoa na wilaya na mahali anapo fanyia kazi yani na kituo cha kazi halafu ana chagua sehemu ambazo anataka kuhamia na idara anayo taka kuhamia ikibidi na kituo cha kazi

Halafu kwa wale wanao taka kubadilishana nae kituo cha kazi nae akingia anajaza taarifa zake za eneo alipo nanakisha ingiza tu taarifa zake nanakajaza mkoa anao taka kuhamia na wilaya mfumo uta recall taarifa alizo jaza wa yule wa mwanzo aliye request then atachagua kulingana na idadi za request zitakazo pop up kulingana na wilaya aliyo jaza ,hivyo atachagua anapo taka na ku link na muhusika halafu itatoka fomu ambayo ita sainiwa na mkurigenzi na utumishi kuhamisha mshahara na kufunga data sheet mnahama chap.

Faida :
Itapunguza sana usumbufu wa kuzunguka na barua wilayani ,mkoani na TAMISEMI , lakini kwakuwa wahamaji watabadirisha vituo vya kazi moja kwa moja hakutakiwa na upungufu wa watumishi wa umma. Unao tokana na kuhama.pia itapunguza kupotea kwa muda.

Ingawa nahisi hii itakuwa project kubwa kwa sababu ni muhimu mfumo uweze kutambua watumishi wote kwa kada zote na vituo vyao vya kazi ili mambo yawe mepesi

Kazi kwenu ma programmers
 
Labda ungesema ni aina gani ya teknolojia zimeshindwa kupiga step kwenye nyanja Ya IT.
yani server za serikali wakiingia watu 10000 kw sekunde ina shindwa kufanya kazi.
server kama pasi
 
Hongera mkuu kwa website yako uliyoianzisha[emoji2320][emoji2320]
Pengine mimi kuanzisha website sio ndoto yangu ndio maana sijaanzisha ila ningependa tu na sisi walau tungekuwa na website kama hiyo.
Pia mimi sina huo uwezo wa kutengeneza website ambao unadai ninao kwa sababu sina elimu hiyo.
Elimu haina mwisho. Mimi mwenyewe nilijifunzia mtandaoni. Nilianza kusoma mtandaoni ila kikubwa nikujua
hii website au blog nikianzisha itanilipa hela na kwa njia gani. Ila inahitaji uvumilivu sana
 
Kwanza kabisa tovuti ya kuhamisha watumishi wa umma ambayo ita link na database ya watumishi wa umma , ambayo kwa wale watumishi wanao taka kubadilishana vituo vya kazi badala ya kuandika matangazo kwenye ubao wa matangazo halimashauri watakuwa wana weza kuingia kwenye hiyo tovuti

Tovuti ifanye kazi hii, kwanza mtumishi anaye taka kuhama kituo chake cha kazi kwa mfumo wa kubadilishana vituo awe anaweza kuingiza details za mkoa na wilaya na mahali anapo fanyia kazi yani na kituo cha kazi halafu ana chagua sehemu ambazo anataka kuhamia na idara anayo taka kuhamia ikibidi na kituo cha kazi

Halafu kwa wale wanao taka kubadilishana nae kituo cha kazi nae akingia anajaza taarifa zake za eneo alipo nanakisha ingiza tu taarifa zake nanakajaza mkoa anao taka kuhamia na wilaya mfumo uta recall taarifa alizo jaza wa yule wa mwanzo aliye request then atachagua kulingana na idadi za request zitakazo pop up kulingana na wilaya aliyo jaza ,hivyo atachagua anapo taka na ku link na muhusika halafu itatoka fomu ambayo ita sainiwa na mkurigenzi na utumishi kuhamisha mshahara na kufunga data sheet mnahama chap.

Faida :
Itapunguza sana usumbufu wa kuzunguka na barua wilayani ,mkoani na TAMISEMI , lakini kwakuwa wahamaji watabadirisha vituo vya kazi moja kwa moja hakutakiwa na upungufu wa watumishi wa umma. Unao tokana na kuhama.pia itapunguza kupotea kwa muda.

Ingawa nahisi hii itakuwa project kubwa kwa sababu ni muhimu mfumo uweze kutambua watumishi wote kwa kada zote na vituo vyao vya kazi ili mambo yawe mepesi

Kazi kwenu ma programmers
Nitalifanya kama project mwaka kesho kama hakuna atakaye lifanya
 
Nafkiri website ya maswala ya Starehe ndio utapiga hela.

Mfano Bar or night clubs kali zinakuw zinapigiw kura siku husika kuonyesha wapi kuna VIBE la kutosha.

Pia wazee wa Lodge... Machimbo yale yaliyojificha... Ewaaaa... mambo kama hayo.

Pia, Online dating iliyo serious kidg.. Aah utakula hela..
 
Kwanza kabisa tovuti ya kuhamisha watumishi wa umma ambayo ita link na database ya watumishi wa umma , ambayo kwa wale watumishi wanao taka kubadilishana vituo vya kazi badala ya kuandika matangazo kwenye ubao wa matangazo halimashauri watakuwa wana weza kuingia kwenye hiyo tovuti

Tovuti ifanye kazi hii, kwanza mtumishi anaye taka kuhama kituo chake cha kazi kwa mfumo wa kubadilishana vituo awe anaweza kuingiza details za mkoa na wilaya na mahali anapo fanyia kazi yani na kituo cha kazi halafu ana chagua sehemu ambazo anataka kuhamia na idara anayo taka kuhamia ikibidi na kituo cha kazi

Halafu kwa wale wanao taka kubadilishana nae kituo cha kazi nae akingia anajaza taarifa zake za eneo alipo nanakisha ingiza tu taarifa zake nanakajaza mkoa anao taka kuhamia na wilaya mfumo uta recall taarifa alizo jaza wa yule wa mwanzo aliye request then atachagua kulingana na idadi za request zitakazo pop up kulingana na wilaya aliyo jaza ,hivyo atachagua anapo taka na ku link na muhusika halafu itatoka fomu ambayo ita sainiwa na mkurigenzi na utumishi kuhamisha mshahara na kufunga data sheet mnahama chap.

Faida :
Itapunguza sana usumbufu wa kuzunguka na barua wilayani ,mkoani na TAMISEMI , lakini kwakuwa wahamaji watabadirisha vituo vya kazi moja kwa moja hakutakiwa na upungufu wa watumishi wa umma. Unao tokana na kuhama.pia itapunguza kupotea kwa muda.

Ingawa nahisi hii itakuwa project kubwa kwa sababu ni muhimu mfumo uweze kutambua watumishi wote kwa kada zote na vituo vyao vya kazi ili mambo yawe mepesi

Kazi kwenu ma programmers
Hii kuna mwanajf alianzisha ikafa
 
Back
Top Bottom