Rafiki yangu alinipaga wazo kama lako na kutaka kunipa kibunda ila bora nilale njaa kukiko kufanya kazi hyoTovuti za starehe za wakubwa hatuna jameni
You can modify it usiweke visual content ukaweka ata simulizi na hadithi za kusoma au E books za wakubwa niamini mimi consumers ni wengiRafiki yangu alinipaga wazo kama lako na kutaka kunipa kibunda ila bora nilale njaa kukiko kufanya kazi hyo
Katiba hairuhusu ila blog zipo nyingi tuYou can modify it usiweke visual content ukaweka ata simulizi na hadithi za kusoma au E books za wakubwa niamini mimi consumers ni wengi
Tovuti za kujisomea vitabu vya kiswahili bure bila malipoaina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa
Who will create those bookTovuti za kujisomea vitabu vya kiswahili bure bila malipo
Za Kenya bongo zinapigwa Lock fasterKatiba hairuhusu ila blog zipo nyingi tu
Waandishi na watunzi wa vitabu wapo wengi mno wachache nawajua na kuwafahamu wanauza hard copy mara chache hutoa soft copy ila website ya kusoma vitabu vya kiswahili bure bila malipo haijawahi kuundwaWho will create those book
Ngoja nifikiri kuhusu hili nitarudi na mrejesho mkuuWaandishi na watunzi wa vitabu wapo wengi mno wachache nawajua na kuwafahamu wanauza hard copy mara chache hutoa soft copy ila website ya kusoma vitabu vya kiswahili bure bila malipo haijawahi kuundwa
Sawa mkuu litakua jambo jema sana,Ngoja nifikiri kuhusu hili nitarudi na mrejesho mkuu
Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu
Chief-Mkwawa
Binadamu Mtakatifu
Hawa ndo ninaowajua humu, karibuni.
I agree but it depends. Karibu kila kitu kipo kwenye tovuti au app siku hizi. You just need to come up with a spin plus a form of incentives. Kitu kingine cha kuangalia, creators au publisher inabidi waangalie maswahi kwa upana. Sio kujiangalia wao wanapata nini kwanza.Tatizo kubwa la wabongo ukitengeneza kitu kama umejitengenezea hawana mda nao
Kila la kheri kuna jamaa anayo ya mitihani online sijui alifika wap?I agree but it depends. Karibu kila kitu kipo kwenye tovuti au app siku hizi. You just need to come up with a spin plus a form of incentives. Kitu kingine cha kuangalia, creators au publisher inabidi waangalie maswahi kwa upana. Sio kujiangalia wao wanapata nini kwanza.
Nina idea moja ambayo in target education space, I am sure if I start today, it will take off within no time.
Asante. Hiyo ya mitihani siifahamu. Was it an app or website? Please share if you can. I will learn a thing or two.Kila la kheri kuna jamaa anayo ya mitihani online sijui alifika wap?
Niwebsite mkuu ila link nimesahau but seems like was created by Wp this is big mistake for developerAsante. Hiyo ya mitihani siifahamu. Was it an app or website? Please share if you can. I will learn a thing or two.
Bado sijaanza kuifanyia kazi hiyo ya education. Kwa sasa kuna app ndio inanichukulia muda mwingi ku-develop.
Niwebsite mkuu ila link nimesahau but seems like was created by Wp this is big mistake for developer
Mkuu,nafikiri hapa ndipo ilipo fursa yenyewe.Je tunawezaje kuwafanya wabongo wawe consumers wa teknolojia za bongo?Tatizo kubwa la wabongo ukitengeneza kitu kama umejitengenezea hawana mda nao