Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

Sio wazo baya ila kuna matatizo, ni kwa nani au ni wapi utapata taarifa za watumishi wote wa uma? Je unaamini una haki ya kumiliki na kuweka hizo data mtandaoni hata ukizipata? Hilo tatizo namba moja, tatizo jingine ni hii site itajiendesha vipi, revenue itatoka wapi? Demand ipo kiasi gani, ni watu wangapi wanahitaji kuhama namna hii kwa mwaka?
Hii inaweza kuwa usefull ikitengenezwa/kumilikiwa na serikali nadhani.
 
Kwanza ikitengenezwa itamilikiwa nanserikali kama zilivyo sites zingine za serikali,

kuhusu kupata taarifa za watumishi ni kwamba lazima mfumo uweze kuwasiliana na mfumo wa utumulishi lakin wenyewe utakuwa na taarifa chache tuu kama majina yake, cheque namba ,pamoja na kituo chake cha kazi ambapo kila mtumishi anatakiwa kujisajili na cheque namba yake
 
Nicheki nikufanyie Designing ya muinekano was hio platform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…