Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?


Je hizo busta unawasha kwa umeme gani mkuu?
 
wakati pioneer 312d4 ni chini ya 200000tsh tena ni much better katika performance.

1. Napata shida kidogo kuamini kuwa sub ya laki 2 inaweza ku-outperform sub ya milioni 2(svs SB1000pro).
Kama hiyo pioneer ndio zile subs zinazofungwa kwenye magari, kama tuna consider SOUND QUALITY sidhani kama inaifikia hiyo Svs Sub hata kidogo.

2. Umewahi kuisikiliza Svs Pro SB1000 na kuifanyia "A-B comparison" na hiyo Pioneer?

3. Svs subs pro series, ukiachana na sound quality, ina features ambayo hiyo Pioneer ya kusuka haina(and many many subs hazina). One of the features, ni ile Mobile App yake inayokuwezesha kufanya alot of configurations remotely at any time.
 
Picha ya hiyo svs sb1000 pro iko wapi?
 
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
 
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
Feature ina a lot of customization ya Eq na mambo mengine mengi yanayohusiana na sound.

Svs haiuzii Jina. It is the largest suwboofer manufacturer by the way, na ndicho wanachosifika kwacho.

Ni kama tu LG wanavyosifika kwa TV displays... huwezi kulinganisha LG na Hisense kwa mfano linapokuja swala la display.

Inapokuja kwa upande wa Subwoofer, kina Klipsch, Polk, Pioneer subwoofers generally wanasubiri kwa Svs.
 
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
Ukiachana na sound quality, kuna kitu kingine kwa upande wa subwoofer ambacho watu wengi hawajui[emoji116]


Subwoofer inatakiwa i-dissappear.. Yaani unatakiwa usikie Bass yake lakini usiweze kuhisi hiyo Bass inatokea wapi.

Hutakiwi "kuisikia" Subwoofer yako( I hope hapa ninaeleweka). Unatakiwa usikie ile deep Bass lakini usiweze kuilocate inapotokea.

Sasa Budget subs haziwezi kukupa hicho kitu.. SVS subs zinakupa hicho kitu, zina-dissapear.

Kwa mtu anaye value Quality of Sound, hicho ni kitu muhimu sana.

Na hiki ni moja ya vitu vinavyo-distinguish Subs za kawaida na hi-end/semi-hi-end subs
 
hivyo vyote unavipata hta kwa jvc subwoofers
 
Uko sahihi
 
laki na 70 tu
Tutafute hela mkuu tuache kujifariji.

- Tutafute hela tuache kucompare Infinix ya laki na nusu na Iphone ya 3 m (ingawa zote zinapiga simu)

- Tutafute hela tuache kucompare ist ya 13M na Land cruiser ya 150M( ingawa zote zinatembea)

Premium Audio isn't cheap, but it's worth... Tutafute Hela mkuu tuweze kuafford vinu vya ukweli.
 
hand made in Kenya hyo proffessionaly kabisa

na hzo bufa ni za gari

na mzigo full set unaula kma 3.2milion za kibongo

sawa na na budget ya svs pb3000 kwa 1[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…