Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Swali lako lipo jumla Sana(general question) ijapokuwa wengi wamekibu swali lako kwa mlengo mmoja.

Neno subwoofer ni KIASHIRIA Cha aina ya speaker inayo fikia kiwango Cha sauti Yani herts(Hz) kuanzia 15 Hadi 250. Hii huitwa bass speaker Yani spika ya sauti ya chini(lower frequence) Sasa HIZI spika huunganishwa Katika mfumo wa sauti ya chombo HUSIKA(redio) hapo UTAKUTA Kuna

1.subwoofer(spika ya sauti za chini/bass) kuanzia hz15-250Hz
2.woofer(spika ya sauti ya Kati/mid frequence sp) kuanzia 250Hz-500Hz
3.tweeter(spika ya sauti za juu/upper frequence sp)kuanzia 500Hz-20000KHz.

Hivyo chombo chenye mkusanyiko wa mfumo wa sauti ndio tunaita (redio) ambayo UTAKUTA inamfumo huo wa 3way speaker system(bass, mid, tweeter)

Sasa hapo NDIPO wengi wamelivamia swali ijapokuwa mazoea yamefanya wengi kulijadili kwa upande wa aina ya redio badala ya kujadili kuhusu aina gani ya spika inayozalisha sauti za chini kwa uzuri zaidi (nahisi hata muuliza swali hakulenga jibu langu Ila nimelichakata kwa faida ya wengi)
Hivyo seapiano sijui aborda hizo ni redio.

Ushauri wa Bure kwa wale wapenda Mziki [emoji116]
Achana na redio mlizozoea KUZIITA subwoofer hazikupi majibu sahihi ya maswali yako juu ya kupata sound nzuri , Cha kufanya jichange nunua Vifaa hivi.
1.kama redio unayo sio shida hapa redio yeyote itafaa kuungwa ISPOKUWA redio mziitazo subwoofer usiunge mfumo ntakaoshauri,
2.nunua subwoofer speaker mbili za gari mfano pioneer, JBL zenye watts 400 RMS(1400pmpo watts)
3.nunua booster/amplifier Kama Boschmann yenye watts 1600w 4 channels
4.nunua equolizer na crossover
5.unaweza kuongezea mid speaker mbili za watts400 kila moja,
6.mtafute fundi MZURI wa kutengeneza box azitengenezee box zile subwoofer mbili ziwe ktk box moja na atengeneze box mbili za zile mid speaker mbili
7.nunua transformer la 12voltage au nunua power supply ili kubadili mfumo wa umeme wa AC kuwa DC ili iyo booster itakayosukumu izo subwoofer iwe na uwezo.
8.mshirikishe fundi wa Mziki wa gari akusaidie hapo nyumbani , Kisha ukimaliza kwa hakika utaongeza ugeni wa majirani Kuja kusikiliza sound , ni balaa Mziki mzito na ni deep bass, we fikiria izo mziitazo subwoofer moja unainunua kwa laki moja au elfu80 au 150 wakati iyo laki moja na hamsini ni Bei ya kununua spika moja ya bass yenye ukubwa wa 12"inch wakati redio za kichina spika yake ni 6" inch na watts ni 50/80 au 100 wakati ikiwa na subwoofer speaker hizo mbili kwa jumla una gonga watts800 kwa pamoja, Sasa jiukizeni ninani atapata mdundo ule deep... Fanyeni maujanja hayo Cha msingi Anza kununua speaker za bass kabla ya CHOCHOTE ili zikusaidie Kujua ni aina gani ya booster uichukue, spika za gari hua Zina 4ohm usijenunua spika za nyumbani za 6ohm au 8ohm,nendeni maduka ya Vifaa Vya magari.

NB. Vifaa vyote hivyo Kama unaredio, basi hapo lengo nikupata bass halisi hivyo Kama redio yako Ina mid nzuri zitaendelea kutumika kutokana na redio hiyo hiyo Ila hapo kinachofanyika ni KUTOA waya ktk output ili booster ya gari ipokee full range frequence Kisha iyo booster izisukume subwoofer hizo mbili KWAAJILI ya kupata bass zito . Ushauri nicheki kwa 0654411800 nipo Dar-mbagala

Je hizo busta unawasha kwa umeme gani mkuu?
 
wakati pioneer 312d4 ni chini ya 200000tsh tena ni much better katika performance.

1. Napata shida kidogo kuamini kuwa sub ya laki 2 inaweza ku-outperform sub ya milioni 2(svs SB1000pro).
Kama hiyo pioneer ndio zile subs zinazofungwa kwenye magari, kama tuna consider SOUND QUALITY sidhani kama inaifikia hiyo Svs Sub hata kidogo.

2. Umewahi kuisikiliza Svs Pro SB1000 na kuifanyia "A-B comparison" na hiyo Pioneer?

3. Svs subs pro series, ukiachana na sound quality, ina features ambayo hiyo Pioneer ya kusuka haina(and many many subs hazina). One of the features, ni ile Mobile App yake inayokuwezesha kufanya alot of configurations remotely at any time.
 
Picha ya hiyo svs sb1000 pro iko wapi?
 
Picha ya hiyo svs sb1000 pro iko wapi?
Picha zake hizi hapa.

Ina 3 finishes.... White, Black na some sort of Grey.

Hizi ni entry level subs kwa Svs Pro Series subwoofers... Svs wana vyuma zaidi ya hivi
images (7).jpg
images (9).jpg
 
1. Napata shida kidogo kuamini kuwa sub ya laki 2 inaweza ku-outperform sub ya milioni 2(svs SB1000pro).
Kama hiyo pioneer ndio zile subs zinazofungwa kwenye magari, kama tuna consider SOUND QUALITY sidhani kama inaifikia hiyo Svs Sub hata kidogo.

2. Umewahi kuisikiliza Svs Pro SB1000 na kuifanyia "A-B comparison" na hiyo Pioneer?

3. Svs subs pro series, ukiachana na sound quality, ina features ambayo hiyo Pioneer ya kusuka haina(and many many subs hazina). One of the features, ni ile Mobile App yake inayokuwezesha kufanya alot of configurations remotely at any time.
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
 
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
Feature ina a lot of customization ya Eq na mambo mengine mengi yanayohusiana na sound.

Svs haiuzii Jina. It is the largest suwboofer manufacturer by the way, na ndicho wanachosifika kwacho.

Ni kama tu LG wanavyosifika kwa TV displays... huwezi kulinganisha LG na Hisense kwa mfano linapokuja swala la display.

Inapokuja kwa upande wa Subwoofer, kina Klipsch, Polk, Pioneer subwoofers generally wanasubiri kwa Svs.
 
hyo feature sioni kma inatija yyte kwnye sauti ya kifaa

sometime ni brand name tu watu wanauzia.
Ukiachana na sound quality, kuna kitu kingine kwa upande wa subwoofer ambacho watu wengi hawajui[emoji116]

Subwoofer inatakiwa i-dissappear.. Yaani unatakiwa usikie Bass yake lakini usiweze kuhisi hiyo Bass inatokea wapi.

Hutakiwi "kuisikia" Subwoofer yako( I hope hapa ninaeleweka). Unatakiwa usikie ile deep Bass lakini usiweze kuilocate inapotokea.

Sasa Budget subs haziwezi kukupa hicho kitu.. SVS subs zinakupa hicho kitu, zina-dissapear.

Kwa mtu anaye value Quality of Sound, hicho ni kitu muhimu sana.

Na hiki ni moja ya vitu vinavyo-distinguish Subs za kawaida na hi-end/semi-hi-end subs
 
hivyo vyote unavipata hta kwa jvc subwoofers
 
Hivi mkuu una idea yoyote kuhusu hili,kuna madai kwamba home theatre ni special kwa kuangalizia movies huku muziki Hi-Fi ndo iko recommended,kwamba mziki ukiupiga kwenye home theatre kuna vionjo utakuwa huvipati same ukiangalia movie kwa Hi-Fi vinakosekana vitu...

Hapa una maoni gani mzee!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Uko sahihi
 
laki na 70 tu
Tutafute hela mkuu tuache kujifariji.

- Tutafute hela tuache kucompare Infinix ya laki na nusu na Iphone ya 3 m (ingawa zote zinapiga simu)

- Tutafute hela tuache kucompare ist ya 13M na Land cruiser ya 150M( ingawa zote zinatembea)

Premium Audio isn't cheap, but it's worth... Tutafute Hela mkuu tuweze kuafford vinu vya ukweli.
 
hand made in Kenya hyo proffessionaly kabisa

na hzo bufa ni za gari

na mzigo full set unaula kma 3.2milion za kibongo

sawa na na budget ya svs pb3000 kwa 1[emoji16][emoji16]
20230219_020637.jpg
 
Back
Top Bottom