Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

mavumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
596
Reaction score
328
Wakuu,

Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi!

Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi!

Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea, nadhani hata usingizini alikuwa akihutubia.

Hebu mshaurini maana saikolojia ya msingi tu husema - wenye mvuto na bashasha katika hotuba, hutumia matukio yenye hisia, na hawakinai masikioni.

Mnamchosha kiongozi wetu hee!
 
Back
Top Bottom