Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.

Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.

Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
 
Umasikin ukijumlisha na elimu hakuna basi tena
 
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.

Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.

Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.

Dunia ni Kijiji ndugu:

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

Hukuwahi kusikia hata umuhimu wa "thinking globally and acting locally?"

Ujinga mbona ni kutokujua kuitumia nafasi muhimu ya kutengeneza waumini kindaki ndaki katika haki dhidi ya dhuluma, ndiko suluhu la matatizo yetu liliko?

Kumbe tunaitika vipi kwenye maandamano au mapambano yoyote bila kujua tofauti ya dhuluma na haki?

Unadhani kote wanakoongelea kadhia ya mashariki ya kati au ndugu kama hawa:

IMG_1567 (3).jpg

ni wajinga ila wewe?

imhotep, binti kiziwi FYI - Kamanda baridi kama huyo sasa, tunapambana naye bega kwa bega kwenye lipi?
 
Dunia nzima watu wanachambua huo mgogoro

Alafu wamejigawa kimakundi,
Wakristo wapo upande wa Yahudi.
Waislam wapo upande wa Palestina.

Ni kawaida sana Mkuu

Mjinga anapojidhania kuwa mwerevu:

"Uhuru wetu hauwezi kuwa safi mpaka Afrika yote iwe huru." --JKN.

IMG_1567 (3).jpg

Huyu kapigania haki nchi lukuki na kafa akipambania haki ugenini:

CheHigh.jpg

South Africa ni Afika lakini uhusika wake Gaza dunia imeivulia kofia; Rwanda Ina askari Haiti (sina hakika kama wangalipo huko); Kenya iko Haiti; ; nk nk.

Kumbe wote hao wajinga ila mleta mada na wa aina yake.
 
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Upo sahihi kabisa na ndiyo maana rasilimali za nchi zinapigwa bei kirahisi
 
Dunia nzima watu wanachambua huo mgogoro

Alafu wamejigawa kimakundi,
Wakristo wapo upande wa Yahudi.
Waislam wapo upande wa Palestina.

Ni kawaida sana Mkuu
Wakristo wanachuuza kama wanavyochuuzwa wamerikani Yahudi hawawatambui wakristo wanajipendekeza Wakristo wanasema Masih ni mtoto wa Mungu na Mayahudi wanasema Uzeiri ni mtoto wa Mungu na nyote muna vitabu.
 
Wayahudi hawatambui kama Mungu anamtoto. Labda katika Lugha za kifalsafa ambapo binadamu wote ni watoto wa Mungu hasa wanaozifuata na kuzitenda sheria zake
 
Wakristo wanachuuza kama wanavyochuuzwa wamerikani Yahudi hawawatambui wakristo wanajipendekeza Wakristo wanasema Masih ni mtoto wa Mungu na Mayahudi wanasema Uzeiri ni mtoto wa Mungu na nyote muna vitabu.
Na nyie mnasena mkifa shahidi mnaenda kupewa wake 72
 
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.

Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.

Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Ya Tanzania tumempa mitano tena SSH.Kwani watu wakipiga gumzo kuhusu Israeli na Wapalestaini wewe unaathirika kitu gani?Chunga afya yako usife kwa mshtuko wa moyo.
 
Eti mtu anaitwa haki kwa wote alafu anaminya haki ya kuzungumzia chochote.

Bongo hii afya ya akili ni zero zero
 
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.

Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.

Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.

That's why kuna forums tofaut tofaut hapa,
So wewe nenda kwenye forum ambayo kwako unaona ina maana

Sasa umeingia forum ya habari mchanganyiko then unataka kutupangia cha kuandika?

Kuna majukwaa ya upishi, Dini, mahusiano nenda huko

Huku tuache na mambo yetu mchanganyiko
 
Mjinga anapojidhania kuwa mwerevu:

"Uhuru wetu hauwezi kuwa safi mpaka Afrika yote iwe huru." --JKN.

View attachment 3114715

Huyu kapigania haki nchi lukuki na kafa akipambania haki ugenini:

View attachment 3114716

South Africa ni Afika lakini uhusika wake Gaza dunia imeivulia kofia; Rwanda Ina askari Haiti (sina hakika kama wangalipo huko); Kenya iko Haiti; ; nk nk.

Kumbe wote hao wajinga ila mleta mada na wa aina yake.
Kupambania na kushadadia ni vitu viwili tofauti kabisa.Mtoa mada anazingumzia wapiga porojo kuhusu hayo mataifa wakati nchini mwao yako mambo mengi yakufwatilia ila hawafanyi hivyo.kwakifupi ni kwamba uku kwetu huo mgogoro tunaufwatilia kwamtazamo wa kidini wala sio kwasababu ya haki na amani.
 
Back
Top Bottom