HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Umasikin ukijumlisha na elimu hakuna basi tenaNi ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Dunia nzima watu wanachambua huo mgogoro
Alafu wamejigawa kimakundi,
Wakristo wapo upande wa Yahudi.
Waislam wapo upande wa Palestina.
Ni kawaida sana Mkuu
Upo sahihi kabisa na ndiyo maana rasilimali za nchi zinapigwa bei kirahisiNi ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Wakristo wanachuuza kama wanavyochuuzwa wamerikani Yahudi hawawatambui wakristo wanajipendekeza Wakristo wanasema Masih ni mtoto wa Mungu na Mayahudi wanasema Uzeiri ni mtoto wa Mungu na nyote muna vitabu.Dunia nzima watu wanachambua huo mgogoro
Alafu wamejigawa kimakundi,
Wakristo wapo upande wa Yahudi.
Waislam wapo upande wa Palestina.
Ni kawaida sana Mkuu
Wakristo wanachuuza kama wanavyochuuzwa wamerikani Yahudi hawawatambui wakristo wanajipendekeza Wakristo wanasema Masih ni mtoto wa Mungu na Mayahudi wanasema Uzeiri ni mtoto wa Mungu na nyote muna vitabu.
Na nyie mnasena mkifa shahidi mnaenda kupewa wake 72Wakristo wanachuuza kama wanavyochuuzwa wamerikani Yahudi hawawatambui wakristo wanajipendekeza Wakristo wanasema Masih ni mtoto wa Mungu na Mayahudi wanasema Uzeiri ni mtoto wa Mungu na nyote muna vitabu.
Ya Tanzania tumempa mitano tena SSH.Kwani watu wakipiga gumzo kuhusu Israeli na Wapalestaini wewe unaathirika kitu gani?Chunga afya yako usife kwa mshtuko wa moyo.Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Na akileta ubishi tutaanza kumjadili yeye.Humu tunajadili kila kitu bro.
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Kupambania na kushadadia ni vitu viwili tofauti kabisa.Mtoa mada anazingumzia wapiga porojo kuhusu hayo mataifa wakati nchini mwao yako mambo mengi yakufwatilia ila hawafanyi hivyo.kwakifupi ni kwamba uku kwetu huo mgogoro tunaufwatilia kwamtazamo wa kidini wala sio kwasababu ya haki na amani.Mjinga anapojidhania kuwa mwerevu:
"Uhuru wetu hauwezi kuwa safi mpaka Afrika yote iwe huru." --JKN.
View attachment 3114715
Huyu kapigania haki nchi lukuki na kafa akipambania haki ugenini:
View attachment 3114716
South Africa ni Afika lakini uhusika wake Gaza dunia imeivulia kofia; Rwanda Ina askari Haiti (sina hakika kama wangalipo huko); Kenya iko Haiti; ; nk nk.
Kumbe wote hao wajinga ila mleta mada na wa aina yake.