Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Ukisema muandamane haumuoni hata mmoja wote wanajificha magetoni!! Toka lini mashabiki wa Yanga na Simba wakawa wanaharakati wa mageuzi
 
Mungu ameniagiza niseme ukweli aliousema Yesu: "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia mawe..."
Wewe ni ibilisii kabisa. Nyingi ndio ulioandikwa kwenye biblia Mungu alimuuliza shetani umetoka wapi shetani akasema nimetoka duniani kutafuta marafiki.
 
Unatumia maandiko ya biblia vibaya,hata shetani hutumia maandiko, we ni mjumbe wa shetani
It is not misuse of Scripture to echo the very words of Christ: ‘First take the plank out of your own eye, and then you will see clearly to remove the speck from your brother’s eye.’ (Matthew 7:5). If that offends the self-righteous, then perhaps the mirror is too honest.
 
Na Mungu huyohuyo anasemaje juu ya watawala kuwadhulumu uhai watawaliwa?
 
Wewe ni ibilisii kabisa. Nyingi ndio ulioandikwa kwenye biblia Mungu alimuuliza shetani umetoka wapi shetani akasema nimetoka duniani kutafuta marafiki.
Biblia gani hiyo inayokuambia shetani anatafuta marafiki.
 
Na Mungu huyohuyo anasemaje juu ya watawala kuwadhulumu uhai watawaliwa?
Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
 
Biblia gani hiyo inayokuambia shetani anatafuta marafiki.
Si unaijua? Wewe umeandika nini kama huijui? Wewe tapeli wa biblia.

Mungu akamuuliza shetani umetoka wapi? Shetani akamjibu nimetoka duniani kutafuta marafiki. Ndiyo nyie mnauwa na kuteka mnadanganya watanzania mnafiata sheria. Mashetani makubwa
 
Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
Unao uwezo wa kusoma yaliyomo ndani ya mioyo ya wengine hata useme hawastahili kuwakosoa wenzao?
Lkn pia, ktk muktadha wa unachoserma. Unachomahanisha ni kuwa si sahihi kukanyana na kuonyana sisi kwa sisi.
 
Yamjazayo mtu moyoni ndiyo yamtokayo. Ukiona mtu anatukana, ujue moyo wake ni mchafu tu.
 
Ukimaliza kuomba nikabidhi sadaka.
NO REFORMS NO ELECTION.
 
Uko sahihi sana, lakini ngoja tuendelee na kampeni yetu.
Free tundu Lissu.
No reform No election.
No reform No election.
No reform No election.
Endeleeni tu ila mjue Jesus is coming soon.
No heart reform. No election into heaven.
 
Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
Kwa mantiki hii hakuna mwenye haki ya kuhubiri na kukanya wenzake dhidi ya kutenda dhambi kwa sababu hakuna binadamu ambaye moyoni mwake hana doa. Yaani tukae kimya tu na tuache uovu ushamiri kwa sababu tu tuna madoa mioyoni mwetu. Huu ni ushauri wa hovyo.
 
Sijasema ukae kimya. Nimekushauri utubu kwanza, uishi maisha matakatifu halafu ndio utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Bila hivyo hata wewe ukipata madaraka, utatenda udhalimu tu.
 
Kwahyo Mungu wako anahalalisha yale yanayotokea nchini, ya watu kutekwa na kuuawa kuwa ni sawa eti kisa tu kwakuwa sisi wengine tuna dhambi?
Absolutely not. God never condones evil—whether committed by rulers or resisters. But He also does not excuse hypocrisy. His call is clear: ‘Let justice roll on like a river, righteousness like a never-failing stream.’ (Amos 5:24). True reform begins when both the governed and the governing repent.
 
Madai ya reform ni matokeo ya R4 za rais...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…