Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
KikiHabari wadau.
Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.
Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki
Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.
View attachment 3201212
Kukopa sio kubaya...je unakopa kufanyia Nini? Je una uwezo wa kulipa? Kukopa kufanya harusi / sherehe ukiwa ni kapuku it's not worth watu hawaelewagi..Namuona Dr am 4 real PhD ana chekaπ
Kakope si utabakiwa na nyumba ya mileleHata bank nitakopa,dhamana nyumba ya wazee
Kakope si utabakiwa na nyumba ya milele
Kukopa sio kubaya...je unakopa kufanyia Nini? Je una uwezo wa kulipa? Kukopa kufanya harusi / sherehe ukiwa ni kapuku it's not worth watu hawaelewagi..
Kiki
Vijana wa hovyo hovyo sana hawa.Habari wadau.
Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.
Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki
Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.
View attachment 3201212
Nita cutie huko mjini, wadada wanao kopa ili wafanye sherehe.Kukopa sio kubaya...je unakopa kufanyia Nini? Je una uwezo wa kulipa? Kukopa kufanya harusi / sherehe ukiwa ni kapuku it's not worth watu hawaelewagi..
Nshasema muhimu sherehe kubwaKakope si utabakiwa na nyumba ya milele
Nshasema muhimu sherehe kubwa
Sijakubishia usinifokeeNshasema muhimu sherehe kubwa
Alafu akishakopa wakatumia deni linakuwa ni la mume.Mwanamke huyo yeye atafosi mwanaume akope tu
Kwenye nyumba ya mzee wetu huko mkoa..Nita cutie huko mjini, wadada wanao kopa ili wafanye sherehe.
Kuna mmoja ali kuwa ana firisiwa, nili cheka mnoππ
Halafu Wana Lia, sema Kuna Jamaa nili muhurumia.Kwenye nyumba ya mzee wetu huko mkoa..
Niliona vitu vya ndani vikasombwaa wakawa chukua kila kitu..
Kausha damu/ kukopa sherehe kulipa matangaaHalafu Wana Lia, sema Kuna Jamaa nili muhurumia.
Mkewe ali kopa, nyumba Ika firisiwa, vitu vika uzwa.
ali kuwa ana Lia Kama mtoto, ndo kumpa hifadhi ya miezi 3.
Alafu akishakopa wakatumia deni linakuwa ni la mume.
Huu ukanda wa africa wenye mtindio wa ubongo ni wengi kuliko watu wenye akili timamu. Hivi unaanzaje kukopa kwa kitu kisicho cha lazima? Tuanzie hapo kwanza.Habari wadau.