Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Please, respect our Head of State. Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili.

Kwanini mnapenda provocation?
Tafsiri ya kuongea maneno ndivyo sivyo maana yake nini kama sio"UONGO"?
 
Wakat mwingine lipumba anaitumia akili yake vizur
 
Ni akina Ben saa kenda
 
Kiuhalisi CCM hawakuwa tayari kuingiza mfumo wa vyama vingi toka awali.Ilikuwa ni fix tu za Nyerere kuhadaa Dunia kwamba Tanzania imekuwa nchi ya kidemokrasia.Huwezi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi ukimuacha raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala akiwa na madaraka makubwa kiasi hicho.Wangekuwa Wana nia ya dhati kuingia kwenye demokrasia ya kweli,wangeanza kwanza kubadili katiba iliyopo badala ya kuweka viraka!
 
Azory Gwanda,Ben Sa8 na wenzao.Unafikirisha!!!
 
Nami nakazia kuuliza ni akina waliohukumiwa jela kwa kesi ya ugaidi ambayo mh Mbowe kaunganishwa?

Ni kesi namba ngapi maana ni sharti ilisikilizwa mahakama kuu na kuhusisha mawakili wa pande zote mbili Jamhuri na utetezi?

Je, kwa kauli ya mh rais SSH kwenye jibu la swali kutoka kwa mwandishi wa BBC aliyempotosha ni nani?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Anawajua mwenyewe Samia, ss hatuwajui!!
 
Please, respect our Head of State. Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili.

Kwanini mnapenda provocation?
. Lini makamu wa rais akapigiwa kura?
 
usiwe kama huna akili bimkola walikuwa sita na mbowe wa saba watatu wakaachiwa ndiyo hukumu yao hiyo acha uchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…