Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

..Raisi amedanganya kwa bahati mbaya wakati akijaribu kuwatetea Polisi.
Rais kafanyaje?Mahakama iachwe huru na Mh.Mbowe ataachiliwa muda ukiwadia maana tafsiri ya ugaidi hapa Tanzania ni tofauti na kwingine hapa duniani.Magaidi wa hapa huwa ni wapinzani wa CCM.
Tunadai Katiba ya Wananchi ili kuweka mambo sawa.
 
iQ chini ya 34.
2875004_1628441461282.png
 
Inawezekana hiyo press Rais hakujiandaa nayo, amekurupushwa akaenda, naona kila swali aliloulizwa amekosea kujibu, hana uhakika na kila alichozungumzia.
Tupe wewe majibu mkuu
 
Maojiano ya SSH na bbc kuna sehemu raisi anasema kuwa kuna watu wapo teyari washaukumiwa kwa kesi ya ugaidi!

Kitu kinacho nishangaza kuna kesi gani ambayo inaanza bila pamoja wausika wote kujua yupi muhusika na yupi mwenye hatia.

Hii ndio kesi ya kwanza tanzania kuingia FORBES.[emoji23]
Yani walioshirikiana na mbowe mpaka kesi 2020 imekwisha wamefungwa.
Alafu huyo mbowe leo kaletwa kesi ndio mpya 2021 na upelelezi ujakamilika.
Kama ujakamilika hao waliofungwa tayari kupata huku si mnasema walipanga njama na mbowe mwaka 2020.

[emoji23] serekali ya memes kwenye katiba
 
Baada ya interview mzee Mrema amesema "Heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya. Hapa tulipigwa"
 
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .

Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Huyo mtu hana ubongo wenye akili!
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Hili alianzisha mpuuzi Tundu Lissu kutukana Rais. Nakuunga mkono
 
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea.

Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Hata hapo anaposema kuwa kesi ilifunguliwa mwezi wa tisa 2020 mimi simuelewi. Wote tumeona Mbowe Amekamatwa mwezi July. Sasa kesi huwa I naanza lini Siku upelelezi ukianza au Siku ikifikishwa mahakamani?
 
Dunia itajua Uovu wa Mbowe alio kuwa anautenda au kupanga akiwa amejificha ktk kivuli cha siasa.
kadiri siku zinavyo zidi kusonga shimo linazidi kuwa refu zaidi.
 
Please, respect our Head of State. Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili.

Kwanini mnapenda provocation?
We ndo Huna adabu Shwain.
Hiyo rais wenu hana akili, period!
 
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea.

Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Usiulize kwani wahusika wako majuu walikofungwa, wengine tulidhani kuwa hii ndiyo kesi ya ugaidi ya kwanza nchini.
 
Back
Top Bottom