Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

wanasema 'katika marafiki zako elfu moja, basi mshauri wako awe mmoja kutoka hao elfu moja’ Mama alianza vizuri sana, lakini kitendo cha yeye kusikiliza sikiliza washauri wake ndo kimempeleka huku aliko. Vilevile changamoto ya kutokuwa na uhakika na mambo imedhihirika kiasi fulani, rejea yafuatayo
01. Uteuzi wa wakuu wa mikoa" wa
simiyu aende Arusha, na wa
Arusha aende simiyu ."
02.Siku ya chanjo " si mmesema hii
ya chanjo yetu ukichanja mara
moja hurudii Kama zile zingine? "
 
Maongezi ya Rais Samia ni kama yametoa hukumu kabisa sidhani kama kuna mahakama itajaribu kuthibitisha sivyo inasikitisha sana
 
Yes, huna akili wewe
Inaonekana unahasira sana...Tuliza munkari, madaraka hayatafutwi kwa nguvu, tafuta ridhaa ya wananchi, tena yanatoka kwa Mungu
 
Nadhani Huyu Mama wabaya wake wamemlengesha ili aonekane kituko mbele ya jamii. Nae vile wakusinzia anadhani anapendwa kumbe makukuru tiyari washampigia hesabu.
Kujibu maswali kwa kufikiria watu wengine hakuwezi kuleta ufanisi. Yaani unajibu kuwaridhisha badala ya kujiridhisha. Uhuru, ugaidi siasa bado vina utata.
 
..Mbowe alijificha Nairobi.

..Uchunguzi ulipokamilika akarudi Tanzania.

..Na aliporudi Rais akamtumia salamu.

..Only in Tanzania.🤣
"Kwa sababu jambo liko mahakamani (tuhuma za ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe), sina uhuru wa kulizungumzia kwa sana. Nadhani tuache mahakama zioneshe ulimwengu kwamba hizo shutuma walizomshutumu ni za kweli au si za kweli." - Rais Samia.

Usiokote okote maneno ambayo yanawafurahisha mnukuu rais maneno yake kama mmeamua kujiliwaza sawa.
 
Mkuu kudanganya kwa bahati mbaya? 😳
Mnasahau haraka sana ninyi
====
 
"Kwa sababu jambo liko mahakamani (tuhuma za ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe), sina uhuru wa kulizungumzia kwa sana. Nadhani tuache mahakama zioneshe ulimwengu kwamba hizo shutuma walizomshutumu ni za kweli au si za kweli." - Rais Samia.

Usiokote okote maneno ambayo yanawafurahisha mnukuu rais maneno yake kama mmeamua kujiliwaza sawa.

..Maza kasema Mbowe alishtakiwa tangu mwezi wa 9 2020 kwa ugaidi na uhujumu uchumi.

..pia baadhi alioshtakiwa nao wameshahukumiwa.
 
Nimeamini samia ni zuzu yaani kumbe ni kweli anampango wa kumuuwa Mbowe anayeuwa kwa upanga atakufa kwa upanga namuonea huruma sana maana amekubali kuingiza utawala. Wake kwenye laana hawezi kujisafisha kwa sababu za kijinga namna hiyo
Anafikiri ndio njia pekee ya kuia Chadema .
 
..Na Maza hana details sahihi za suala la Mbowe.

..Maza anadai Mbowe alishtakiwa mwezi wa 9 mwaka jana kwa ugaidi na uhujumu uchumi.

..Sijui watetezi wake watasemaje ktk hili.
Aibu naona mimi
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Uchaguzi wa lini? Ule uchaguzi ambao tulia akson alimshinda sugu? Uchaguzi ambao sijui Nani alimshinda mbowe hai iringa msigwa heche tarime nk ule haikuwa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom