Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Ni kweli Hana???
 
..Nadhani Rais SSH ndio ame-provoke watu hapa.

..kila mtu anajua Mbowe hakuwa amejificha iwe Nairobi, Dsm, Moshi, na hata Mwanza alikokamatiwa.

..Sasa ni kwanini Rais aseme mambo kana kwamba anadharau uelewa wa Watanzania?

.." Watanzania sio wajinga. "
 
Nimeamini samia ni zuzu yaani kumbe ni kweli anampango wa kumuuwa Mbowe anayeuwa kwa upanga atakufa kwa upanga namuonea huruma sana maana amekubali kuingiza utawala. Wake kwenye laana hawezi kujisafisha kwa sababu za kijinga namna hiyo
 
Mhe. Rais ameileza BBC kwamba watuhumiwa wengine kwenye kesi ya Mbowe wanatumikia adhabu zao, je hizi taarifa ni za kweli? Kama siyo za kweli haiwezekani hukumu ikawa ilishaandikwa na yeye amepewa nakala ila watuhumiwa awajasomewa?
Nimemsikiliza Rais wetu, kwa kweli sijamuelewa...!! Labda anayejuwa waliohukumiwa tayari watuambie ni akina nani wanatumikia vifungo vyao, na wanavitumikia wapi..
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Waambie mkuu. Siyo vizuri. Mkumbuke rais naye ni. binadamu. Jiweke pia sehemu yake. Utafurahi ukifanyiwa hivyo. Maadili ni kitu muhimu.
 
IMG_20210521_232606.jpg
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Kwani kaongea uongoo?
 
Back
Top Bottom