chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,332
Ungesema: Rais kadanganya kwa bahati nzuri nigekuelewa..Raisi amedanganya kwa bahati mbaya wakati akijaribu kuwatetea Polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesema: Rais kadanganya kwa bahati nzuri nigekuelewa..Raisi amedanganya kwa bahati mbaya wakati akijaribu kuwatetea Polisi.
Hata wewe umengeuka mapema hii? Madaraka hayapatikani kwakuiweka nchi rehani, hata Mungu hatakiwa upande wenu...Acheni tamaa zenu hizo!Yuko madarakani kwa ule uchaguzi wa kishenzi uliofanyika chini ya yule kiongozi muovu.
Ila ukiona hadi wanamdangany aujue washajua hana lolote.Maza analishwa matango pori sana, CCM ni mafia...mnamdanganya Rais wetu...nyieeee
Hata wewe umengeuka mapema hii? Madaraka hayapatikani kwakuiweka nchi rehani, hata Mungu hatakiwa upande wenu...Acheni tamaa zenu hizo!
Wewe utakuwa kizazi cha mafisadi, urithi umevurugwa na hayati ndiyo maana ya hasira zote hizi🤣🤣🤣Madaraka yanapatikana kwa maagizo kama ya yule kiongozi muovu aliye motoni? Au una hatukuona ule ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020?
Kwahiyo akimtukana Rais ndiyo case itafutwa?Respect is ALWAYS a TWO WAY TRAFFIC. Provocation!? Who is provocating who? Wewe babaako angekuwa yuko ndani kwa ushahidi FEKI ungeandika upuuzi kama huu!? Au mkuki ni kwa nguruwe!? 😳😳😳
Kura zipi unazozungumzia?!Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Mbowe sio binadamu?!Waambie mkuu. Siyo vizuri. Mkumbuke rais naye ni. binadamu. Jiweke pia sehemu yake. Utafurahi ukifanyiwa hivyo. Maadili ni kitu muhimu.
Kesho Yule SHAKA....Raisi amedanganya kwa bahati mbaya wakati akijaribu kuwatetea Polisi.
Wewe utakuwa kizazi cha mafisadi, urithi umevurugwa na hayati ndiyo maana ya hasira zote hizi🤣🤣🤣
Yes, huna akili wewePlease, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Amepotoshwa..naye amekubaliNamba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Ina maana yeye Kama yeye hafatilii kabisa? Haangalii taarifa za habari, au hasomi kabisa magazeti?Amepotoshwa..naye amekubali
Usituletee udini wa kipuuzi weweMkuu,
Mbona unajichanganya?
Si unapigania serikali TATU sio? Ni kitu gani na kitu ukijumlisha kinaleta TATU?
Wanaodai serikali MBILI iendelee wanatoa sababu ya kihesabu kwamba 1 jumlisha moja ni MBILI
Je Ngapi jumlisha ngapi upate TATU?
Tanganyika HURU=1
Zanzibar HURU=1
Tan-Zan......(Kimalizio ni kifupi cha jina la mtu binafsi na dini yake)
IA.......Iqbal+Ahmadiya
Tan-Zan-IA (Mmiliki halali wa jina la Tanzania ni MOHAMMED IQBAL DAR muumini wa dini ya AHMADIYA MUSLIM JAMAAT)
Nchi hii imepatikana kimaajabu, watu wake ni waajabu na matukio ya yanayoendelea kutokea ni ya adabu, mauzauza na giza tupu
Mwanzilishi wa jina hili ni mstaarabu wa kiwango cha juu sana vinginevyo angedaia haki yake mpaka kwenye mahakama za kimataifa ikiwemo kusudio la kumilikishwa nchi na kuabudiwa kama mwenye mali
Wananchi msigombane bure nchi hii siyo yenu ina mwenyewe kwahiyo unapojitwika jeuri kwamba lazima ni dai hili ama lile litekelezwe ni ajabu maana hata viongozi inawabidi kutii masharti na kiapo wanachokutana nacho ambacho wewe na mimi ambao hatujawahi kuingia kwenye tanuru la jumba la kiutawala wa nchi kushuhudia hivyo madai yoyote ukianzisha yatakuwa hewa na ukishupaza shingo utavunjika.