Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Huyo Rais wenu ni mwehu
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Toa sababu nyingine lakini usizungumzie kuchaguliwa. Kwa hii Serikali tuliyo nayo nayo sasa, siyo zao la uchaguzi bali ni tunda la ushetani wa serikali ya awamu ya 5, ndiyo maana roho ya marehemu haiwezi kupata pumziko kutokana na uovu uliopitiliza.

Natamani, kwa hekima ya kibinadamu, ni aheri angepewa nafasi ya kuujutia uovu wake kabla ya safari yake ya mwisho.
 
Hawa watu wanaotembea ardhi ina wachungulia sio viongozi, uongozi wao uishie tu kwenye kujua leo tunakula nn na watoto wameoga au laa
 
Waambie mkuu. Siyo vizuri. Mkumbuke rais naye ni. binadamu. Jiweke pia sehemu yake. Utafurahi ukifanyiwa hivyo. Maadili ni kitu muhimu.
Kwani si kuna binadamu wasio na akili? Au nakosea? Yule wa Mwanza alisema tulishawahi kabidhi nchi kwa kichaa..!! Au nakosea ndugu zangu? NASEMA UKWELI.. MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU..!!
 
Tanzania ndio nchi pekee ambayo magaidi hupewa salamu za pole kufiwa na wapendwa wao

Tanzania ndio nchi pekee ambayo wagonjwa wa Corona hutembelewa mahodini na viongozi wao

Tanzania ndio nchi pekee ambayo ambayo matunda yalikutwa na virusi vya Corona

Tanzania ndio nchi pekee ambayo watakaoshindwa kulipa kodi wameambiwa waende Burundi


Mambo ni mengi mda ni mchache .
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?
Naomba kujua wasomi nchii hii ni asilima ngapi na wasio na elimu asilimia ngapi, na tu generalize kwamba walio wengi ndio wamemchagua mwenzao awaongoze
 
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .

Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Ukweli ni kwamba mama wa kambo alikuwa anaoongea uongo, ndio maana amejikuta anajichanganya.
 
Mkuu,

Mbona unajichanganya?

Si unapigania serikali TATU sio? Ni kitu gani na kitu ukijumlisha kinaleta TATU?

Wanaodai serikali MBILI iendelee wanatoa sababu ya kihesabu kwamba 1 jumlisha moja ni MBILI

Je Ngapi jumlisha ngapi upate TATU?

Tanganyika HURU=1

Zanzibar HURU=1

Tan-Zan......(Kimalizio ni kifupi cha jina la mtu binafsi na dini yake)

IA.......Iqbal+Ahmadiya

Tan-Zan-IA (Mmiliki halali wa jina la Tanzania ni MOHAMMED IQBAL DAR muumini wa dini ya AHMADIYA MUSLIM JAMAAT)

Nchi hii imepatikana kimaajabu, watu wake ni waajabu na matukio ya yanayoendelea kutokea ni ya adabu, mauzauza na giza tupu

Mwanzilishi wa jina hili ni mstaarabu wa kiwango cha juu sana vinginevyo angedaia haki yake mpaka kwenye mahakama za kimataifa ikiwemo kusudio la kumilikishwa nchi na kuabudiwa kama mwenye mali

Wananchi msigombane bure nchi hii siyo yenu ina mwenyewe kwahiyo unapojitwika jeuri kwamba lazima ni dai hili ama lile litekelezwe ni ajabu maana hata viongozi inawabidi kutii masharti na kiapo wanachokutana nacho ambacho wewe na mimi ambao hatujawahi kuingia kwenye tanuru la jumba la kiutawala wa nchi kushuhudia hivyo madai yoyote ukianzisha yatakuwa hewa na ukishupaza shingo utavunjika.

Hiki ulichoandika hakina uhusiano na huu uzi.
 
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!

Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....

Kwanini mnapenda provocation?

Yuko madarakani kwa ule uchaguzi wa kishenzi uliofanyika chini ya yule kiongozi muovu.
 
Back
Top Bottom